Anapika chakula hanipi, hanifulii nguo halafu anataka ndoa

Hii situation nilishawahi kuiona. Kuna sampuli ya chuo ilikuwa ikija weekend kuchill from Friday to Monday. But nikanotice tabia kama hizo.

Ilikuwa kwanza ina ulafi wa kijinga sana. Imagine sampuli inapiga ile chupa ya coca-cola ya lita 2 yote bila mimi kunipa collaboration yoyote.

Yaani anakata chupa nzima ile kuanzia asubuhi hadi jioni chupa inakuwa tupu. Ukiweka vitu vidogo vidogo kama bites akiwa anaondoka anapakia kwenye pochi chupa mbili za takeaway soda, mara abebe sijui nini. Nikahisi pengine ni kukosa pocket money nikawa nampatia ila wapi.

Sasa nikaja kujifunza kuna watu wako poor na empty in home training. Hawakufunzwa ukarimu na kujali wengine. Pia hawakufunzwa au kuelewa manners ili kubehave vizuri.
Hahahahaha hio ni “FoodMonger“ ya abuja 😂😂😂 inakula kama mdudu wa mbao yule
 
Sikia akikuloga nenda kule usambaani milimani

Waulize "USINGA" au "USHINGA"

Kwisha habari yake
 
Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.

Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?

Nimfanye nini huyu mwanamke?
Muache
 
Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.

Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?

Nimfanye nini huyu mwanamke?
Pika makofi kama sehem ya kurestart uone muelekeo...
 
Back
Top Bottom