Mwanamke amekuwa hana raha ya mapenzi kwa takribani miaka mitatu sasa,(hajaolewa), hata akifanya na mtu anayemzimia kwa dhati haoni raha, hata aandaliwaje na hata arelax vp mind hafiki mwisho ndo kwanza anaona mateso na anakauka kabisa, basi mapenzi kwake ni shubiri, je, chanzo cha tatizo ni nini?hali miaka ya nyuma hakuwa hivyo, je, afanye nini?