Anaomba ushauri..

Wapekee

Member
Sep 21, 2011
26
0
Mwanamke amekuwa hana raha ya mapenzi kwa takribani miaka mitatu sasa,(hajaolewa), hata akifanya na mtu anayemzimia kwa dhati haoni raha, hata aandaliwaje na hata arelax vp mind hafiki mwisho ndo kwanza anaona mateso na anakauka kabisa, basi mapenzi kwake ni shubiri, je, chanzo cha tatizo ni nini?hali miaka ya nyuma hakuwa hivyo, je, afanye nini?
 
Isije ikawa ndo shemeji mkuu, maana hiyo experience ya miaka mi3 mpaka akwambie sio kawaida. Huyo ni shemeji tu kaka. Hebu mcheki vizuri isije ikawa 'utamu' ulishandolewa ndugu
 
kama anaota anakutana kimwili na mtu akilala basi atakuwa ana jini mahaba inabidi akaombewe.
 
Mpeleke hspitali huyo mkuu, kama maujanja yote kayatumia halafu anaendelea kupata mateso, hilo ni tatizo ndugu yangu
 
aisee pole zake, ajaribu kumuona daktari wa mambo hayo! Je aliwahi kubakwa au kuwa-abused inawezekana psychologically sex imekuwa turned off kutokana na experience mbaya za nyuma au amekeketwa?? Ajaribu kuwaona therapist
 
Ndugu zangu, hakuna cha kubakwa wala ku keketwa, bas tu hali imetokea ghafla na mbaya zaidi anaachwa na kila mwanaume anayempenda.
Mwana jf anayesema shemeji mkuu anamaanisha nini?
Kuhusu kuota ndiyo huwa anaota anafanya na mtu ila ikija kwenye tendo lenyewe yani physically na mtu ni kuumia tu, yani amechoka sana mateso.
 
Utamu hasikii na wala anayefanya nae hasikii..sasa huo utamu unaondolewaje?na kama jini mahaba je huwa yanatumwa na watu au mtu anakutana nalo katika mazingira gani?
 
Hajaolewa na anamiaka 3 hii vip huyu msichana au mwanamke? siatulie sasa mpaka apate mume ndoa itamuondolea yote au anatafuta lile janga kubwa? na kikombe ndo kimegoma kuponya kaziii kwelikweli
 
Hajaolewa, ni binti mkubwa anakaribia umama, si ndo hivyo nilisema hapo juu kuwa wachumba hawakai nae,akipata mchumba anampiga chini, sababu zisizo eleweka, cyo kwamba hajatulia katulia sana tu ila anabahati mbaya..
 
Hajaolewa, ni binti mkubwa anakaribia umama, si ndo hivyo nilisema hapo juu kuwa wachumba hawakai nae,akipata mchumba anampiga chini, sababu zisizo eleweka, cyo kwamba hajatulia katulia sana tu ila anabahati mbaya..

mpeleke kwenye maombi.
 
.... Definetly ana past event amabayo ilikuwa HASI ...sasa ameibeba na kufanya ijitokeze kila anapo kuwa na mwanamume. Cha kufanya ongea naye ..akueleze sexual xprience zake zote ... Lazima atataja ya kwanza mabayo inamuonekano very negative.... Then ... Mueleze kuwa ili huo muonekano uishe lazima ... ajikubali na kuondoa hisia hasi zote zilizokuwepo. Mumbie ukweli kabisa kajifunga mwenye kwa tukio la zamani ... ajikubali, asamehe...na aone kuwa anatibika ..na ujue kuwa ..anawez akuwa super tu!! all the best!!
 
Huenda kuna jambo linamtatiza hivyo kupeleka fikra zake zote upande huo. Ni vema kulijua hilo kwanza.
 
Back
Top Bottom