Anaomba ushauri, Je amuache?

Habari wadau. Kuna mtu wangu wa karibu amenifuata akitaka ushauri juu ya mahusiano yake. Anajiuliza kama anaweza kumuacha mpenzi wake au aendelee nae.



Nawasilisha.
Ni kama kutahiriwa kama hujawahi huwezi kusimulia maumivu yake huyu hajatahiriwa siku akitahiriwa atakuwa akili...kwa kila mwanaume aliyewahi kupenda na akaachwa huwa haulizi mara mbili huyu bwana kaanzia mapenzi ukubwani
 
Hahaha, naona kuna watu wanatamani wamtusi rafiki wa mleta mada hapa jukwaani ila ndo hivyo tu...
 
Ningekuwa karibu ningewapiga magumi na kuwazabua makofi wote wawili. Sasa hapa unataka ushauri gani kwa mfano?!
 
Mimi hata sijasoma chochote ulichoandika ila nashauri ampige chini aachane naye, ukianza kuona unawaza sijui nimuache we muache tu msipotezeane muda!
Dawa ya mpumbavu ni kumuacha na upumbavu wake umkomeshe anyooke nao hadi atie adabu. Maisha ni magumu wao wanachukulia poa kutumia muda kulia lia na mademu wasiojielewa kiakili.
 
Huyu angekuwa anajitambua na ana uwezo wa kumuacha huyo mwanamke angeshamuacha ila ni mjinga wa mwisho mshamba wa uchi...!! Hata tumshauri vipi hata elewa kituu hapaa
 
Huyu angekuwa anajitambua na ana uwezo wa kumuacha huyo mwanamke angeshamuacha ila ni mjinga wa mwisho mshamba wa uchi...!! Hata tumshauri vipi hata elewa kituu hapaa
Imepokelewa.
 
Hahaha, naona kuna watu wanatamani wamtusi rafiki wa mleta mada hapa jukwaani ila ndo hivyo tu...
Mwenyewe hili suala lilinistua nikashindwa nimjibu nini. mpaka nimelileta huku ni kwamba natafuta namna nzuri ya kumwambia amteme ila asiidake moja kwa moja kama namshauri amuache maana huwezi jua akiwa karibu nae anaweza kunigeuka namshauri waachane.
 
uzi wangu
tunapenda wanawake walioshindikana

wanawake wanaongoza kuturoga basi huyo kafungiwa na huyo mwanamke
 
Acha ujinga basi,yaani wanaume wawili na mapumbu yenu mnakuja kuomba ushauri kwa kitu kama hichi,kwa aina hii ya watu hatuna budi kuongeza tozo,tutaleta mpaka tozo ya vichwa vya wendawazimu kama ninyi
 
Chizi mapenzi😂😂
Aendelee kua njia panda ambulance ya milembe itamkuta hapo hapo.
 
Habari wadau. Kuna mtu wangu wa karibu amenifuata akitaka ushauri juu ya mahusiano yake. Anajiuliza kama anaweza kumuacha mpenzi wake au aendelee nae.

Anasema alikutana na huyu binti miaka miwili iliyopita, wakati akimtongoza binti alisema anataka mtu siriaz amechoka kuchezewa ndio maana ameamua kukaa singo. Jamaa akakomaa mpaka akampata huyu binti lakini ndani ya miezi miwili ya mahusiano yao akabaini binti ana mahusiano na wanaume wengine wawili kwa takribani miaka 3 na mwingine miaka 5.

Anasema aliamua kukaa kimya kwa kuamini kama binti ameamua kuwa nae basi huenda hana mpango na hao jamaa labda hakupata tu mtu ataekuwa karibu.( hao jamaa wote ni waume za watu). Kwa imani hiyo jamaa akavumilia kuwa nae karibu huyu binti mpaka siku 1 alipomuaga anaenda kusalimia ndugu lakini kumbe alienda kwa mwanaume mwingine. akalala huko siku 2 kisha akarudi kwa jamaa.

Licha ya jamaa kugundua ukweli na mpaka aliongea na jamaa kwa simu alipoipokea simu ya binti wakati alipompigia saa 8 za usiku, bado hakuweza kumuacha, aliendelea nae. Kwa sasa anadai binti amesafiri tena kaenda kwa jamaa wa mwingine na amejaribu kumuuliza anaenda wapi anasema majibu hayamridhishi kabisa, binti anadai akifika anakoenda atamwambia lakini tangu amesafiri simu haipatikani tena.

Anasema anavumilia sana ameshindwa aamue nini kwani binti amwemwambia ana ujauzito wake hivyo anajikuta njia panda kumkataa asije sema kaikataa mimba.

Binafsi nimekosa cha kumshauri nimeona niwadondoshee wadau hapa tupate mitazamo tofauti.

Nawasilisha.
Hivi Mnashindwaje kuwakaza na Kuwacha hai Madem wa Aina hiyo, Demu Ushamt******a mara kadhaa ukiona anatembeza papuchi sana Si Umuache unajilizaliza nini sasa Yani Jama anakuwa Kama Fala Iv

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom