Anaomba ushauri afanyeje?

Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,549
1,074
Habari kaka mimi ni msichana niliyebahatika kuolewa miaka kadhaa iliyopita, nikiwa katika ndoa yangu nilidanganyika nikatoa nje ya ndoa na huko nikakutana na mwanaume aliyejaliwa kuwa na mashine yauhakika nikawa nakula naye raha wakati huo mume wangu alikuwa nje ya nchi lakini aliporudi nikaachana na yule jamaa na kuendelea na mume wangu sasa tatizo nililonalo ni kuwa mume wangu ana kibamia sasa anashindwa kunipa raha nayotaka na hata nikimchezea vipi anakuwa kama mtu asiyejisikia zaidi ataniacha nihangaike hapo mwenyewe naye hana habari na hali huwa mbaya mara baada ya kumaliza mzunguko wa kwnza maana huwa hataki kurudia tena!
 
dada unachokofanya hapo unapokuwanaye huwa unacompare, hapo unakosea sana tu tulia na mume wako mweleze unachotaka na kwa upole si kwa dharau wala ukali wala dhihaka nina imani atakielewa.pia tulia dada na ndoa yako utaambulia kuachwa bure uje jilaumu tu
 
Sasa lisa ni kaka gani uliyemwandikia thread hii? Maana umeanza na habari kaka.

Haya na akujibu huyo kakio
 
Humwandai Vizuri mmeo, ulikubali kuona naye, ulifuata nini kwake? kama ana kibamia, hukukiona siku ya kwanza mnakutana kabla ya ndoa? au nyie ndo mnaofuata Magari na Pesa, mkiingia ndani ya ndoa sasa ndo mnaona hayo mapungufu na unaanza kucheat kwa kisingizio cha KIBAMIA? mie nadhani hufai kuwa mke wa mtu wewe, maana uliapa kwa shida na raha, sasa mmeo kasafiri kidogo tu wewe ushatafuta mwanaume mwingine, na maradhi je, hujamwambukiza huyo mmeo?
 
Sasa lisa ni kaka gani uliyemwandikia thread hii? Maana umeanza na habari kaka.

Haya na akujibu huyo kakio

Afu huyu si yule Lisa aliyekuwa anatafuta mchumba baada ya kuchezewa sana? Si ndo ametoa na namba zake za simu? He!
 
Afu huyu si yule Lisa aliyekuwa anatafuta mchumba baada ya kuchezewa sana? Si ndo ametoa na namba zake za simu? He!
Si ndo hapo sasa? Au labda anaolewa tena lol maana naona siku hizi ni kawaida babu! Natamani ningeishi miaka ile yenu!
 
Lol Lisa nimegundua hizi story una copy na kupaste basi uwe unaweka angala source mama.
 
Si ndo hapo sasa? Au labda anaolewa tena lol maana naona siku hizi ni kawaida babu! Natamani ningeishi miaka ile yenu!

Enzi zetu tulikuwa hatuombi maushari ya kipuuzi kama haya. Ngoja niteme mate kwanza. Ptuuuu! Ugoro wangu unaniishia na hela sina.
 
kuna vituko hapa ndani loh dada nanihii hebu edit hiyo Sredi yako ili upate msaada wa wengi
 
Afu huyu si yule Lisa aliyekuwa anatafuta mchumba baada ya kuchezewa sana? Si ndo ametoa na namba zake za simu? He!


Chrispin sio mm hebu soma vizuri hizo thread mm nimecopy from somewhere
usinidhalilishe bwana mm ni Mrs.
 
Nashangaa sana , mm siko hivyo muwazavyo, mm nimecopy sehemu na kuileta humu jamaan, wewe Chripini na Fedel sitaki uchokozi.
 
Nahisi hayuko serious na hana uzalendo na upendo wa kweli kwa mume wake. How comes umeshindwa kutulia kwa mumeo na unamfananisha na jamaa yako??????
Nahisi ni kama humtendei haki na kama hujamwambukiza, basi itakuwa in bahati yake????
Saikolojikale anaweza kuwanajua nini kinaendelea moyoni mwako maana hajakuzoea ukifanya yale unayomfanyia kwa sasa. Unahitaji kututlia na kukumbuka mmetoka wapi, mpo wapi na mnaenda wapi! Adhawise ndoa yako ipo hata lini na unastahili kuomba msamaha kwa yale umemtendea mumeo.
 
Chrispin sio mm hebu soma vizuri hizo thread mm nimecopy from somewhere
usinidhalilishe bwana mm ni Mrs.

Mrs nani? We can make a deal unajua. Na mimi ni Mr. kwahiyo tuna cheo kimoja. Ni PM basi.
 
Achana na hako kabamia nenda kafuate huo mtalimbo uliouona unakufaa,alafu ukiachika rudi tena hapa tukushauri!!
 
Nakutaki kila heri ila be very carefully.Najua watajitokeza wengi mno kazi kwako kufanya right choice.
 
Haha kweli hii imeniacha hoi sana jamani ... haha haha... Sasa ni hivi mi naona huyu dada hana uaminifu, maana kama aliweza kutoka nje ya ndoa na kukutana na kishawishi kama hicho ambacho kuepukika ni vigumu hapo kazi kweli kweli! Lakini haina neno siku hizi kuna dawa za kuongeza hiyo ni kitu iwe kubwa ya kutosha, mshauri mumeo atumie mwambie hautosheki, maana msema kweli ni mpenzi wa mungu, sio ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom