Cross-Examination Mahakamani

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,780
(1) *Wakili:* Unakubaliana na mimi kuwa tuna maabara moja tu ya kupima virus vya Korona hapa Tanzania.

*Mheshimiwa* Ndio

(2) *Wakili:* Na unakubaliana na mimi kuwa mahabara hiyo ipo kwenye uchunguzi na hivyo haiwezi fanya kazi kwa Sasa

*Mheshimiwa* Ndio.

(3). *Wakili:* Unakubaliana na mimi pia hospitali zote pamoja na Aghakan na Regency zinaitegea maabara ya taifa kupima Virusi vya Korona.

*Mheshimiwa* Ndio.

(4). *Wakili:* Sasa mwambie mheshimiwa hakimu iliwezekana vipi Aghakan kutoa negative na muhimbili positive.

*Mheshimiwa:* Hata mimi mwenye ninashangaa imetokeaje.

(5). *Wakili:* Pia ieleze mahakama umejuaje kuwa wagonjwa wa wa Virusi vya Korona wamepungua ikiwa maabara ipo kwenye uchunguzi.

*Mheshimiwa:* Mhe. Hakimu ili swali gumu sana, ninaomba kwanza nishauriane na wataalamu wangu kabla ya kujibu swali hili.

Jr
 
Baada ya mapumziko mafupi, tunaendelea na Cross Examination. . .

6) WAKILI: Mheshimiwa, mara nyingi hua mnasema "Vitu Vya China Ni Fake", je korona nayo ni fake???

SHAHIDI: Kwakweli, labda Marekani na Italy zinaweza kunisaidia hilo jibu.

7)WAKILI: Mheshimiwa, unakubaliana na mimi kua nyungu hutumika kutibu watu wenye "Mapepo Na Mashetani" toka enzi za mababu zetu kina Mzee Kinjikitile???

SHAHIDI: Ndio.

8) WAKILI: Unawza kuieleza mahakama juu ya "Kujifukiza Nyungu", na kama Muhimbili na Aga Khan wanatoa hio huduma???

SHAHIDI: Labda uwaulize ma Sheikh na Watabibu wenye utaalamu huo.

9) WAKILI: Mheshimiwa, ina maana hata "Papai Na Mbuzi" wanatakiwa nawenyewe wafukizwe "Nyungu" ili wapone korona???

SHAHIDI: Hilo swali la kichonganishi na mkuu wangu wa kazi.

Mheshimiwa Hakimu sina swali la ziada, nafunga Cross Examination. . . .
 
Baada ya mapumziko mafupi, tunaendelea na Cross Examination. . .

6) WAKILI: Mheshimiwa, mara nyingi hua mnasema "Vitu Vya China Ni Fake", je korona nayo ni fake?
7)WAKILI: Mheshimiwa, unakubaliana na mimi kua nyungu hutumika kutibu watu wenye "Mapepo Na Mashetani" toka enzi za mababu zetu kina Mzee Kinjikitile???

Jr
 
Limenitafakarisha sana hili jambo

Je? Tutegemee kuona yaliyosemwa na yule mke wa bilionea huku kwetu?
 
Limenitafakarisha sana hili jambo

Je? Tutegemee kuona yaliyosemwa na yule mke wa bilionea huku kwetu?
.
tapatalk_1589769703912.jpg


Jr
 
Back
Top Bottom