Ananizidi umri na fedha, nifanyeje anipende?

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Habari za hasubuhi hapa jamvini! Kuna mdada kapanga kwetu, chumba chake na changu znapakana, kutokana na personality na urembo nmetokea kumpenda. Nifanyeje anipende au hata anipe mchezo kwani yeye anafanya kazi ilhali m bado nko chuo lakini ananzidi umri!
 
Acha ujinga dogo kazana kusoma kwanza hizo fedha na mapenzi yatakuja kwa wakati wake.Unataka kuanza kulelewa mapema kabla hata ya kutimiza malengo yako!Elimu unayosoma haikusaidii kukabiliana na mazingira uliyomo huyo si wa type yako angalia usije ukaunganishwa kwenye network.
 
Soma kwanza mdogo wangu ze keke maisha ya sasa ni magumu sana, hivyo kama umepata opportunity ya kusoma wewe soma kwanza.

Mbona mapenzi yapo kila wakati dogo wangu? Ila elimu unayoipata sasa kwa mua huu hautokuja kuipata kirahisi namna hii hunda ikawa na gharama za juu ambazo baadae zinaweza kukushinda.

Mdogo wangu ze keke hiyo nyumba ni ya baba yako wala usiitegemee sana, ifike mahali na wewe uwe na mji wako na kutengeneza familia nzuri ambayo itakuwa mfano kwa jamii inayowazunguka. But mie naona kwasasa ni vizuri ukapiga msuli maana huu nio muda sahihi wa wewe kutekeleza hilo.

Kama utakuwa ni mtu mwelewa nadhan utakuwa umenielewa.
 
Nanukua Tweet ya pili kutoka mwisho ya late ngwair

"ukitaka mwanamke akupende mfanyie mambo matano:-
1.mpe hela
2.mpe hela
3.wewe mpe hela
4.mpe hela tu utaona
5.wewe nimekwambia mpe hela"
 
Nanukua Tweet ya pili kutoka mwisho ya late ngwair

"ukitaka mwanamke akupende mfanyie mambo matano:-
1.mpe hela
2.mpe hela
3.wewe mpe hela
4.mpe hela tu utaona
5.wewe nimekwambia mpe hela"

hafiti katika hiyo verse analazimisha...
 
Soma kwanza utampata size yako na mzuri kuliko huyo,usiwe tamaa ya pesa ya mwanamke hujui wapi anaipata wala nani anampa,hata kama anafanya kazi....
 
Soma kwanza utampata size yako na mzuri kuliko huyo,usiwe tamaa ya pesa ya mwanamke hujui wapi anaipata wala nani anampa,hata kama anafanya kazi....
kama ulijua vile, kwa kiasi flani ntaztumia ela zake nkpata! Npen ushaur plz
 
Habari za hasubuhi hapa jamvini! Kuna mdada kapanga kwetu, chumba chake na changu znapakana, kutokana na personality na urembo nmetokea kumpenda. Nifanyeje anipende au hata anipe mchezo kwani yeye anafanya kazi ilhali m bado nko chuo lakini ananzidi umri!

nawewe mzidi umri na fedha, bila shaka atakupenda! nimejaribu hivyo na nimefanikiwa kupewa mchezo!
 
kama ulijua vile, kwa kiasi flani ntaztumia ela zake nkpata! Npen ushaur plz

Huwa najiskia vbaya nnapoona kijana mdogo msomi hajielewi,yaani hajui nini anataka kwa wakati gani?

Kilicho mbele yako ni shule,achana hzo mambo,jitahidi kushinda tamaa za mwili.
 
Back
Top Bottom