Ananitega, nifanyeje jamani ili niepukukane na dhambi hii!

Wakuu habari za j.pili ya mwisho wa mwaka.

Ninarafiki yangu wa kike tulikuwa tunafanya nae kazi sehemu Fulani kwa bahati mbaya kampuni ilifungwa wakati wa corona.

Hivyo tukawa tunawasiliana Mara kwa mara, yeye ana mtu wake mkoa Fulani anafanya kazi,ila huwa anakuja mara moja moja sana.

Huyu rafiki yangu tunakaa nae mkoa mmoja ila kwa sasa anafanya kazi sehemu akiwa anatoea kwao.

Mimi nimepanga geto ila sijaoa wala hajawai niona na mwanamke ingawaje ninao wa kutoana nyenge mara moja moja.

Kuna siku tumepanga aje kunisalimia kwangu,nikamwambia aje j.pili ya mwisho wa mwaka yaani Leo hii.

Imefika mida ya saa 5 asubhi akawa amefika mpaka sasahivi yupo cha kushangaza alivyoingia ndani tu akaguna na kushaanga palivyo,sijajua kama amepapenda kwani ni geto(single room)lakini limejaa kila kitu cha geto.

Nimempikia chakula kizuri sana ingawaje Mimi dume lakini najua kupika sana nilifundishwa na mama mmoja tulikuwa tunaishi nae kibiti.

Nilijaribu kumwambia mapema kuwa badae mida ya SAA 10 jion kuna sehem nitaenda,imefika SAA kumi nikamwambia nataka kwenda sehem,lengo langu ili aondoke kwenda kwao kwani ni mbali kidogo kutoka hapa.atatumia magari mawili na boda moja ndo kufika kwao..

Cha ajabu amesema leo atalala umu kwangu then kesho ndo ataenda kwao kwan usiku umeingia,ameniomba nikakinge maji bombani ili aoge,nikaenda nimemletea na kumpisha ili aoge..

Mpka sasahivi amemaliza kuoga na yupo kwenye kanga tu hataki kuvaa nguo zake kabisa, dalili ninazoziona sio njema sana leo humu ndani.
Zaidi sitaki kufanya nae mapenzi kabisa kwani tulikuwa marafiki na tumesaidiana sana ila leo naona kama hali hii sio nzuri kwangu.

Nimejaribu kumwabia basi ngoja nipike chakula cha usiku then nikimaliza nitaenda kulala kwa rafiki yangu sehemu fulani,amekata amesema anaogopa kulala peke yake.

Wakuu najua kuna watu walishawai pitia hii changamoto na walisolve,basi na mimi naombeni ushauri wenu nifanyeje jamani ili niepukukane na dhambi hii.

Hisia sina kabisa juu yake..yaani mpaka sasahivi yupo amekaa na kitenge tu amejifunga matako kama yote,naona mpaka aibu..sikutegemea kabisa kama ingekuwa hivi.

Waseminari shida sana, hadi hili suala unaomba ushauri kweli??
 
Idiot, mzinzi. Inawezekana kabisa mkalala mpaka asubuhi bila kufanya chochote
 
Kuwa makini mkuu, wengine wagonjwa, wengine wanataka kubambikizia ishu. Kuwa makini sana sana sana. Linda urafiki wenu
 
Ww jamaa utakuwa umemkopesha hela uyo demu Naye anataka mmalizane ivyo.

Kama kweli umemkopa aisee simamia msimamo wako ukijitela tu ndo mmemalizana kiaina
 
Kakimbia huyu sijui kama atarudi tena 🤣🤣🤣🤣

Back
Top Bottom