Ananitega, nifanyeje jamani ili niepukukane na dhambi hii!

Wakuu habari za Jumapili ya mwisho wa mwaka.

Nina rafiki yangu wa kike tulikuwa tunafanya nae kazi sehemu Fulani kwa bahati mbaya kampuni ilifungwa wakati wa corona.

Hivyo tukawa tunawasiliana Mara kwa mara, yeye ana mtu wake mkoa Fulani anafanya kazi, ila huwa anakuja mara moja moja sana.

Huyu rafiki yangu tunakaa nae mkoa mmoja ila kwa sasa anafanya kazi sehemu akiwa anatokea kwao.

Mimi nimepanga geto ila sijaoa wala hajawai niona na mwanamke ingawaje ninao wa kutoana nyenge mara moja moja.

Kuna siku tumepanga aje kunisalimia kwangu, nikamwambia aje Jumapili ya mwisho wa mwaka yaani Leo hii.

Imefika mida ya saa 5 asubuhi akawa amefika mpaka sasahivi yupo cha kushangaza alivyoingia ndani tu akaguna na kushaanga palivyo, jajua kama amepapenda kwani ni geto(single room)lakini limejaa kila kitu cha geto.

Nimempikia chakula kizuri sana ingawaje Mimi dume lakini najua kupika sana, nilifundishwa na mama mmoja tulikuwa tunaishi nae Kibiti.

Nilijaribu kumwambia mapema kuwa baadae mida ya SAA 10 jioni kuna sehemu nitaenda, imefika SAA kumi nikamwambia nataka kwenda sehemu, lengo langu ili aondoke kwenda kwao kwani ni mbali kidogo kutoka hapa. Atatumia magari mawili na boda moja ndo kufika kwao..

Cha ajabu amesema leo atalala humu kwangu then kesho ndio ataenda kwao kwani usiku umeingia, ameniomba nikakinge maji bombani ili aoge, nikaenda nimemletea na kumpisha ili aoge..

Mpaka sasahivi amemaliza kuoga na yupo kwenye kanga tu hataki kuvaa nguo zake kabisa, dalili ninazoziona sio njema sana leo humu ndani. Zaidi sitaki kufanya nae mapenzi kabisa kwani tulikuwa marafiki na tumesaidiana sana ila leo naona kama hali hii sio nzuri kwangu.

Nimejaribu kumwambia basi ngoja nipike chakula cha usiku then nikimaliza nitaenda kulala kwa rafiki yangu sehemu fulani, amekata amesema anaogopa kulala peke yake.

Wakuu najua kuna watu walishawahi pitia hii changamoto na walisolve, basi na mimi naombeni ushauri wenu nifanyeje jamani ili niepukukane na dhambi hii.

Hisia sina kabisa juu yake..yaani mpaka sasahivi yupo amekaa na kitenge tu amejifunga matako kama yote,naona mpaka aibu..sikutegemea kabisa kama ingekuwa hivi.
Sasa yupo kwenye Kanga au Kitenge?
Tupo makini ujue,
Usitufanye mazwazwa.
 
Ama kwa hakika nimepata sana mgagasuko wa moyo..unaachaje kutafuna hiyo va-jay(papuchi)?

Ngoja tu nikameze Diazepam
 
Back
Top Bottom