Nina gf wangu kila cku ninapowasiliana nae ananicctizia nisije NIKAMWACHA.sa kutokana na kulirudia hlo neno mara kwa mara,me naanza kuhic ananizuga 2 ili nimuone ananipenda sana.je hzi fikra zangu zko sawa wakuu?
kama anakwambia mara kwa mara... Ni vizuri ukamsoma the type of person she is.... Wengine hawanaga mzaha na sio wa kuwachezea... for labda kumuacha kwa kitu ambacho aweza fanya waweza juta!! Hivo usiiichukulie mzaha for safetys sake observe...
Nina gf wangu kila cku ninapowasiliana nae ananicctizia nisije NIKAMWACHA.sa kutokana na kulirudia hlo neno mara kwa mara,me naanza kuhic ananizuga 2 ili nimuone ananipenda sana.je hzi fikra zangu zko sawa wakuu?

Kwani ni kweli kuwa utakuja kumuacha/huna malengo naye? Inaonesha kama vile akitamka hilo neno, kiroho kinakusuta kwa ndani hivi?! Msichana wa hivyo kwa uzoefu wangu, ni msichana ambaye alishawahi kuumizwa na bf wake huko nyuma, na hilo lilimuumiza sana kiasi kwamba hataki lijirudie tena katika maisha yake ya mapenzi. So, please usimnuache msichana wa watu.

Mna malengo gani na huo u gf na bf wenu? Kikubwa ni nia na mengine ya kuchunguzana yanafuata! maana vijana wa sasa ni kawaida kila wiki kubadilisha wachumba.
mbona hupendeki? Un ataka afanyeje sas ili ujue kweli anakupenda? Amini anakupenda sana ndo maana anakusisitiza usifanye kinyume.amin hivyo.nina gf wangu kila cku ninapowasiliana nae ananicctizia nisije nikamwacha.sa kutokana na kulirudia hlo neno mara kwa mara,me naanza kuhic ananizuga 2 ili nimuone ananipenda sana.je hzi fikra zangu zko sawa wakuu?
hapo kwenye red hata ka anakuzuga we tatizo lako nni mkuu???

ye naona ana bright future na mimi bt kwangu me naona ni mapenzi ya kishule shule 2.

hana lolote anakuibia huyo,ndio zao hizo ukijua anayoyafanya huko utatamani kujifukia,talking from experience

hili neno analolisema kila mara linaweza kuwa tofasili nyingi sana kunauwezekano anakupenda sana, au kunauwezekano anafanya kitu ambacho ukijua basi umsamehe. au defending mechanism ya kukupumbaza wewe ili umpende hasa kama wewe unakipato kuliko yeye