Ananipenda, ila moyo wangu wala haumfikirii

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Ni mwanamke ambaye tumefahamiana kama miezi minane iliyopita. Ofisi yake na yangu zipo jirani sana.

Mara nyingi tumekuwa tukienda breakfast na lunch pamoja.

Amekuwa akinitumia msg ambazo 100%zinaonesha kuwa anahitaji tuwe ktk uhusiano wa kimapenzi. Hatoki kazini bila kunipitia. Na nikimwambia labda nipo bize, lazima atanisubiri.

Weekend, hupenda kunikaribisha kwake hasa kwa ajili ya dinner. Na ikitokea sijaenda, lazima aniletee. Na sometimes, huwa anataka nimpe nguo zangu anifulie na kuzipiga pasi. Nilimpa mara moja tu nguo za kufua.

Si hivyo tu, bali amekuwa akinitumia meseji au kunipigia simu, KESHO NAOMBA UVAE NGUO FULANI..

Najua kuwa ananipenda sana.Tatizo moyo wangu, mbona haumkubali? Mbona nakuwa mzito?

Nifanyaje?

*Mimi nina mke, ingawa nafanya kazi mkoa mwingine na familia yangu inaishi mkoa mwingine.
 
mkuu siku zote ili kupata inabidi utoe ..sasa huyo binti anainvest kwako to me ninasema anawekeza sehemu ambayo siyo sahihi... any way sijui wewe unampango gani?

je umeshamwambia kuwa unafamilia?

usikute we ndiyo unataka kumpotezea mwenzio muda
 
ushaanza kuingiwa na pepo la ngono wewe eti mke wangu yupo mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine hapo unamaanisha nini mkuu?
 
Kipozeo kimejileta.... Piga wewe au unataka ukanunue K wakat yupo sista apo anajieshim
We kula mzigo af mwambie ukwel wewe ni kipozeo mke wangu yupo
 
Umeweka mazingira ya kuwa karibu naye mno.Ulitakuwa tangu mwanzo usiachie uhusiano uwe wa karibu hivyo kama kweli hukutaka mahusiano naye.Hivi kuna urafiki wa kawaida tu kweli mtu anakufulia nguo na kukupangia cha kuvaa? Alafu unakuja hapa kutusumbua why?Mazingira utengeneze mwenyewe alafu uje kutaka ushauri.hukujua kuwa una mke?
 
Ningekuwa mimi kabla hata hajaonyesha hizo dalili ningekuwa nishamtongoza fasta halafu ikawa ndio nyumba ndogo.
USHAURI: mpende sana mkeo kwa uvumilivu, itunze familia na usichepuke.
 
Kwa namna ulivyojieleza lazima utanasa tu, huoneshi mbadala wowote wa kujinasua ktk huo mtego, WANAWAKE hawashindwiii.....
 
ha ha ha ha mzee mwenzangu... mstari wako wa kwanza nimeulewa ila ule wa pili nmeuelewa zaid.
Ningekuwa mimi kabla hata hajaonyesha hizo dalili ningekuwa nishamtongoza fasta halafu ikawa ndio nyumba ndogo.
USHAURI: mpende sana mkeo kwa uvumilivu, itunze familia na usichepuke.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom