Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Ni mwanamke ambaye tumefahamiana kama miezi minane iliyopita. Ofisi yake na yangu zipo jirani sana.
Mara nyingi tumekuwa tukienda breakfast na lunch pamoja.
Amekuwa akinitumia msg ambazo 100%zinaonesha kuwa anahitaji tuwe ktk uhusiano wa kimapenzi. Hatoki kazini bila kunipitia. Na nikimwambia labda nipo bize, lazima atanisubiri.
Weekend, hupenda kunikaribisha kwake hasa kwa ajili ya dinner. Na ikitokea sijaenda, lazima aniletee. Na sometimes, huwa anataka nimpe nguo zangu anifulie na kuzipiga pasi. Nilimpa mara moja tu nguo za kufua.
Si hivyo tu, bali amekuwa akinitumia meseji au kunipigia simu, KESHO NAOMBA UVAE NGUO FULANI..
Najua kuwa ananipenda sana.Tatizo moyo wangu, mbona haumkubali? Mbona nakuwa mzito?
Nifanyaje?
*Mimi nina mke, ingawa nafanya kazi mkoa mwingine na familia yangu inaishi mkoa mwingine.