Ananilea Nkya wa TAMWA na matamko yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ananilea Nkya wa TAMWA na matamko yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Oct 14, 2010.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Binafsi nimekuwa nikifuatilia sana matamko mbalimbali yanayotolewa na TAMWA kupitia kwa ANANILEA NKYA.

  Matamko haya ndo yamenifanya nitake kujua huyu ANANILEA NKYA ni nani na ana uhusiano gani na CHADEMA/VIONGOZI WA CHADEMA? Maana zamani nilikuwa namsikia tu RTD.

  Kama mmemsikia vema, majuzi alitoa tamko kupinga kauli ya Mnadhimu mkuu wa jeshi ABDULRAHMAN SHIMBO na siku mbili zilizopita alipinga ripoti za REDET na SYNOVATE kuhusu uchaguzi mkuu mwaka huu. Nionavyo mimi, TAMWA kama chombo cha wasomi hakipaswi kupinga ripoti hizo kwa kufuata mkumbo eti kwa kuwa watu wengi wamenazipinga (sijui hao watu wengi amewahesabu vipi), bali nao wangefanya utafiti wao ambao ungeweza kuja na majibu tofauti hata kama wangeyapika matokeo hayo.

  Ndo maana tunaambiwa NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK.

  Napata mashaka na ninaelekea kuamini kuwa labda kwa kuwa nae ametoka mkoa wetu ulee ambao unahusishwa na chama (kampuni) yetu ya CHADEMA? Maana TAMWA ni INTEREST GROUP, hivyo ni wazi kuwa ana INTEREST huko.
   
 2. M

  Masauni JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa nadhani wewe una hekima kweli. Niseme kweli na si ushabiki mwananchi wa kawaida kuishabikia CCM ni lazima uwezo wake wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana.
   
 3. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,989
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Ndugu, usimlinganishe huyu mama na takataka nyingine zote unazozijua wewe (Salma, Kirango, Sofia S).
  She is in a different class of her own and not as cheaply and lowly as your brain works!!
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  KAUMZA.... Just use your proper ID... this one makes you even worse!!!

  Mama Nkya is one of reputable and credible women who dare to speak openly; she has earn lots of respects from her outstanding work in human rights, let alone women's dignty and gender balance... a few months ago, alipata honour pale ubalozini kwenu mnapopapenda na kuomba visa kila mwezi mkacheki mambo kule USA

  Jitahidi umsome zaid, kwani kama kweli ulikua unamsikia zamani na RTD tu, then you dont know what you are saying
   
 5. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ananiela Nkya ni mwanamke mwenye mkono wa chuma, yeye ni kichwa anaweza kuchambua pumba na mchele akajua kilicho safi na kibovu! Mungu kama angetujalia Kinamama kama Ananiela 20 tu, nchi hii isingekuwa hapa ilipo!
   
 6. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tamko la Shimbo lilikuwa mwendelezo wa Siasa za majitaka za kutaka kututisha wananchi tutoke kwenye mstari wa kuleta mabadiliko! utafiti wa Redet na Synovate ulikuwa ni upuuzi ulioandaliwa na watawala wa sasa pia kutukatisha tamaa Wana wa nchi hii kuleta mabadiliko. Wala haihitaji akili sana kubaini mbinu za kitoto zinazotumiwa na CCM kutaka waonekane angalau bado wako hai. Ananiela Nkya kama mwananchi mwenzetu wal si kama unavyotaka tuelewe alibaini ujinga unaofanyika na kuukemea. Mtu yeyote mwenye akili timamu, hakika aliona taito la tamko la Shimbo na mapungufu ya REDET na SYNOVATE!
   
 7. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli shida! Wewe unasema angefanya utafiti ndipo apime. Kwa kuwa wewe hujui kama amefanya utafiti unasema ameiga mkumbo tu! Je, wewe umefanya utafiti na kugundua yeye hajafanya utafiti? Kwa kuwa kuna siku moja ulisikia mtu anasema NO RESARCH, NO...... na wewe umekopi na kupesti bila hata ku-edit!! POLE. Hao unaosema hawajafanya research kwa kukutaarifu tu wameshafanya na tafiti zao zinaonesha tofauti na zile za synovate na ndo maana unakuta wanapinga. Halafu huyu mama hana uhusiano wa pekee sana na chama ulichotaja ila yeye ni Mtanzania mzalendo mama anayefuatilia na kutaka kujua mstakabali wa nchi hii yetu sote!!!!
   
 8. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Tumamshukuru Mungu kwa kuipa nchi yetu watu shujaa kama huyo Ndugu Nkya. Kama angekuwa bootlicker kama walivyo baadhi ya viongozi wengine, angekaa kimya. Ni ushujaa kiongozi kama yeye kusimama na kukemea maovu.
   
 9. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  ACID nimeupenda ushauri wako na umenishawishi nifanye jithada za kumjua mama huyu. Lakini huyu URASA amenishangaza. Ina maana hajui maana ya Demokrasia na uhuru wa maoni? Kama nchi hii itakuwa na watu wasample ya URASA twafaaa, watatupeleka kulekule kwenye zidumu fikra za........(URASA), Ukienda against unapotezwa. URASA, punguza jazba, hoja hazijibiwi wa jazba bali hujibiwa kwa hoja. Kwa uzoefu wangu, watu wenye jazba kama za URASA huwa hawadumu ktk misimamo yao. Muda si mrefu,( inawezekana hata sasa) amevaa tshirt ya KIJANI ama NJANO na Kofia ya chagua JK na keyholder yake ya CHAGUA CCM
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jamani, msimlaumu huyu bwana Kaumza, he is just fulfiling what he has been sent here for, hamuoni amejiunga lini?...Hakuna mtu wa chama cha majeruhi anayeweza kumpenda mama Nkya!..Her heart is too loud for the vandals!
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kazi uliyotumwa ujiandikishe JF ni umpigie kura Kikwete, haya mambo ya Nkya ya nini tena?
   
 12. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaumza ungemsikiliza Ananilea vizuri ungemwelewa. Vizuri wengine wamekujibu Ananilea ni nani. Kwa kuongeza ni mtu asiyemumunya maneno katika kuongea. Kumbuka haki haina kabila wala dini na propaganda za kidini na kikabila hazina mshiko zaidi ya kuonesha woga ulionao.
  Kaumuza nimegundua unaongea kama wenzio, sijui mnafunzwa wapi hizi propaganda za kizamani! Waambieni walimu wenu wa propaganda, wabadilishe mbinu za kuwafunza kwani "Watanzania si Mabwege tena" Dr. H. Mwakyembe
   
 13. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  je na wale waangaliz wa kimataifa waliopinga tamko la shimbo nao wanatoka kilimanjaro? Tatizo la watu wa ccm kutokana na kuaminishwa kuwa fikra za mwenyekiti ndizo sahihi hamataki hata kuchambua mambo aua kujifikirisha hata kidogo.
   
 14. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Baada ya kuishiwa sera, na kuahidi mambo yote ya uwongo sasa ndiyo mmebakiwa na hayo; na Mungu awasamehe maana kila mtu kishaanza kuwashtukia. Kampuni yenu ya mafisadi sijui itabakia na nani baada ya 31st October at least sasa hivi Chadema inaishi na nguvu za Vijana na watu wenye upeo. Sasa wewe ungejipanga sijui hiyo CCM itakuwa Chama au itakuwa JK and Sons; maana sasa hivi ukweli CCM is dead; kifo cha mende; i don't see if there is life on it; the only thing I am seeing is JK & SONS; and after 31st October; it will be taken to hell!!
   
 15. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyo mjamaa (Kaumza) ni zao la shule za kata. Hawa huwa hawana uwezo kabisa wa kufikiri na kuchambua mambo. Chombo chao cha kufikiri kwa niaba yao ni CCM tu!!!!
   
 16. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  KAUMZA unaumwa?
   
 17. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Hapa ukitaka uheshimiwe na wengi inabidi ujiheshimu kwanza; umeaanza kwa kubeza ati Chadema ni kampuni, sijui ya kule, sijui upuuzi gani; that is what you deserved; if you were near me you gonna/could get a punch! Respect for respect!!
   
 18. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  What do you want me to do??

  Angesifis CCM ungeleta pumba zako hapa??

  Unafiki mtupu!!!
   
 19. m

  mosesk Member

  #19
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini wewe KAUMZA inabidi utumie akili wakati mwingine maana unaandakika kama umekatika kichwa. Demokrasia hairuhusu upuuzi! Unashindwa kutofautisha huduma na sera, nyinyi ndiyo manaongea vitu vidogo vidogo mambo ya msingi mnakimbia. hatudanganyiki!!.

  Nchi haiendeshwi kwa ahadi za kununua bajaji 400!
   
 20. m

  msaragambo Senior Member

  #20
  Oct 14, 2010
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sio bure umetumwa wewe......
   
Loading...