Ananilaumu kisa nimeacha kumsifia

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Habari wana jamvi

Nina(follower) rafiki mmoja wa kike kwenye mitandao ya kijamii,hatujawahi kuonana uso kwa uso, bali kupitia mitandao ya kijamii

Alipokuwa anapost picha nilikuwa namsifia alivyo mzuri kuliko wanawake wote duniani,ziwe post za public namsifia,muda mwingine naenda pm namsifia anabaki kucheka na kufurahi kwa kutumia emoji

Sijawahi kumtongoza,maana sina tabia ya kutongoza wanawake kwenye mitandao ya kijamii,bali kuwa sifia tu

Sasa siku za hivi karibuni nilisitisha huduma ya kumsifia,imekuwa taabu kwangu,mwanamke analalamika kuwa simsifii siku hizi,anajisikia vibaya mimi kutomsifia

Wanawake mungu anawaona,mnataka msifiwe na hata wasiojulikana
 
Maajabu sijaona mtu anaeulizia account ya instagram ya huyo dada akamsifie
 
Nadhan umefanya jambo jema we tu unasifia wenzako wanakula.. 😁😁sifa zingine atasifiwa na mpenzi wake...
 
Back
Top Bottom