Ananiita 'bestfriend' ila ananipiga vibomba sana, nimfanyaje?

Demu kaona wewe ni fala sana, kakudharau sana. Demu ambaye umemtongoza na hajakukubalia kukupa au kuwa mpenzi wake halafu bado anakutumia amekuona wewe ni sifuri bin Zero. Amka kutoka usingizini ndugu yangu!
 
Jamaa mzembe.mwambie tu huyo best friend wake ahamie kwangu na aendelee kupiga vibomba ili mwishowe naye apigwe bomba. Watoto wa siku hizi hamna kitu kabisa.anakuja kulalamika hapa wakati enzi zetu angekuwa ashabakwa huyo halafu haendi kushtaki popote.na kuanzia hapo atakuwa anakuja kubakwa kila siku.

Mjibu hiyo msg mwambie nilikua na laki mbili kama saa moja iliyopita kuna dada flani mtu wangu wa karibu sana kaja hapa geto kwangu nimempa pesa yote bado niko naye hapa alikua na uhitaji sana so kwa leo sina pesa nicheki siku nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah huu ndio ushauri sasa..... Haya ndio maneno ya kumwambia ndezi huyu anaejua kuomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ukute umeombwa elfu 50 tu,
Mnapenda vizuri lakini kugharamia wagumu, lol.
 
Umemuelewa mleta mada lakini??..
Manzi hajampa jibu lakini ni good friends, kamuomba pesa ya matumizi ya njiani kaja kufungua uzi kwani akimpa pesa na wakaendelea kua good friends shida iko wapi au pengine akimpa ndio ikawa mwanzo wa kukubaliwa ombi lake.
 
Habari za mwaka mpya ndugu zangu. Napenda kuwatakia heri katika mwaka huu mpya wa 2020 na kupambana ili kutimiza malengo tuliyojiwekea katika maisha yetu.

Kuna kitu kinanisumbua kidogo, kuna binti mmoja ilitokea kumkubali sana hasa kwa muonekano wake na tabia zake ambazo nilizisikia kutoka kwa watu wachache wanaomfahamu.

Mwamba nikaamua kurusha nyavu labda samaki atadakwa, lakini tangu nimezungumza naye, hakutoa jibu la ndiyo wala hapana, kabaki kama mtu wa karibu anayetaka tuwasiliane kwa simu za hapa na pale na kuchat kiasi.

Ni binti fulani ivi wa kanisani sana, sasa kinachonipa shida ni kuwa sijawai kufanya nae romance yoyote, sijawai hata kumgusa mwili wake kimahaba. Hajawai hata kujikabidhi kwangu kama mpenzi wangu, na nikimiuliza mimi nani yake anajibu ni BESTFRIEND wake tuu, ila amekua mtu wa kutaka kutoka out na mimi sana ili tukale msosi huko na mambo mengine (kumbuka mimi ndo mlipaji wa cost zote za out).

Na nimekuwa nikikwepa sana sana kwa kusingizia ratiba za kazini au labda nina ugeni geto ili tuvunje hizo out, maana sitaki nigharamie mtu ambaye sifaidiki chochote kwake.

Nikitaka niende kwake hataki, anataka tukutane sehemu tule na tupige stori then kila mtu aendelee na mishe zake, na wala yeye kuja kwangu hataki kabsaa. Kifupi ni kuwa anazuia mazingira yote hatarishi ya yeye kuliwa.

Haachi vibomba na kwakuwa navikwepa, leo ndiyo kavunja rekodi kwa kuweka wazi kabisa na kuandika "Naomba hela boss wangu, nina safari fulani ila naomba hela ninunue hata kizawadi njiani na nipate hela ya kula" Hii ni moja kati ya SMS zake za kupiga vibomba, nimeikwepa na saa hizi sijibu SMS yake.

Je, mtu huyu nimfanyaje au nimjibuje mana naona anataka kula pasipo yeye kuliwa?

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anakupiga vibom nawe mpige vilisasi,,, mbona simpotuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutumieni na sisi hizo ela za vyuma vya magu kama hazistui, msitumie ndugu zenu muwekeze kwa midemu isiyo na fadhira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zetu hawana shida ya hela wanapambana kivyao, hiyo midemu isiyo na fadhila ina shida ndio maana tunawapa...

Je wewe ni demu mwenye fadhila au usiye na fadhila?
 
Kwanza mi kuombaomba ela kwa mtu wangu mzito sana, makuzi yangu kota, siwez kusema sehemu gani ila Moro, zamani nilikuwa sujajiunga humu kuna uzi mtu mmoja kamuongelea mzee wangu humu, mi sikukulia kutegemea kupewa na bwana, au kuombaomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtumie meseji mwambie fulani mimi umekula pesa yangu muda mrefu saana.

Sasa ya leo naomba uifanyie kazi...njoo unipe papuchi kisha nitakupatia hiyo pesa mama.

Akikaa kimya nawe kaa kimya. Akikujibu vibaya kaa kimya. Reply meseji yake pale ambapo atasema haya nakuja kwako kukupa papuchi.
We jamaa kumbe mjinga hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtumie meseji mwambie fulani mimi umekula pesa yangu muda mrefu saana.

Sasa ya leo naomba uifanyie kazi...njoo unipe papuchi kisha nitakupatia hiyo pesa mama.

Akikaa kimya nawe kaa kimya. Akikujibu vibaya kaa kimya. Reply meseji yake pale ambapo atasema haya nakuja kwako kukupa papuchi.

Habari za mwaka mpya ndugu zangu. Napenda kuwatakia heri katika mwaka huu mpya wa 2020 na kupambana ili kutimiza malengo tuliyojiwekea katika maisha yetu.

Kuna kitu kinanisumbua kidogo, kuna binti mmoja ilitokea kumkubali sana hasa kwa muonekano wake na tabia zake ambazo nilizisikia kutoka kwa watu wachache wanaomfahamu.

Mwamba nikaamua kurusha nyavu labda samaki atadakwa, lakini tangu nimezungumza naye, hakutoa jibu la ndiyo wala hapana, kabaki kama mtu wa karibu anayetaka tuwasiliane kwa simu za hapa na pale na kuchat kiasi.

Ni binti fulani ivi wa kanisani sana, sasa kinachonipa shida ni kuwa sijawai kufanya nae romance yoyote, sijawai hata kumgusa mwili wake kimahaba. Hajawai hata kujikabidhi kwangu kama mpenzi wangu, na nikimiuliza mimi nani yake anajibu ni BESTFRIEND wake tuu, ila amekua mtu wa kutaka kutoka out na mimi sana ili tukale msosi huko na mambo mengine (kumbuka mimi ndo mlipaji wa cost zote za out).

Na nimekuwa nikikwepa sana sana kwa kusingizia ratiba za kazini au labda nina ugeni geto ili tuvunje hizo out, maana sitaki nigharamie mtu ambaye sifaidiki chochote kwake.

Nikitaka niende kwake hataki, anataka tukutane sehemu tule na tupige stori then kila mtu aendelee na mishe zake, na wala yeye kuja kwangu hataki kabsaa. Kifupi ni kuwa anazuia mazingira yote hatarishi ya yeye kuliwa.

Haachi vibomba na kwakuwa navikwepa, leo ndiyo kavunja rekodi kwa kuweka wazi kabisa na kuandika "Naomba hela boss wangu, nina safari fulani ila naomba hela ninunue hata kizawadi njiani na nipate hela ya kula" Hii ni moja kati ya SMS zake za kupiga vibomba, nimeikwepa na saa hizi sijibu SMS yake.

Je, mtu huyu nimfanyaje au nimjibuje mana naona anataka kula pasipo yeye kuliwa?

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaa yaani kuna wanawake hawafai kuwa date kabisaaaaaaa......ombaomba
 
Back
Top Bottom