Ananiita 'bestfriend' ila ananipiga vibomba sana, nimfanyaje?

Kwanza mi kuombaomba ela kwa mtu wangu mzito sana, makuzi yangu kota, siwez kusema sehemu gani ila Moro, zamani nilikuwa sujajiunga humu kuna uzi mtu mmoja kamuongelea mzee wangu humu, mi sikukulia kutegemea kupewa na bwana, au kuombaomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
,
Wait, kuna mtu alimuongelea mzee wako kwa mema au mabaya?
 
Nilimpataga wa hivi, kanipiga mizinga mara nne. Mara ya tano nikamwambia hata marekani hutoa misaada sehemu yenye maslahi, kama vipi aje achukue hiyo hela ila aje kiutu uzima, nikamaliza kwa kusema kama unakubali vigezo na masharti njoo, pia kama hukubali njoo uchukue ya mara ya mwisho.
Akaja ofisini, nikamwambia nimpe hela yake ila nipige kimoja tu cha fasta. Akaanza kuniambia kuwa hajajiandaa, labda tupange siku nyingine. Nikamwambia wewe sio bikra, nimekwambia kila kitu kabla ya kuja hapa, so unachofanya ni utoto.
Nikaingia ndani nikachukua hela aliyotaka nikampa (wakati huo kakaa kwenye mwamba wa sofa, yaani hata kukaa kabisa anaogopa kuliwa kimasihara).
Nikamwambia hiyo ni hela ya mwisho kwako, so tuondoke kila mtu ajue yake. Akawa ananiambia samahani sana kama ameniudhi, atajileta mwenyewe siku ya pili, nimwambie wapi tutakutana! Nikamwambia sitaki, napenda watoto but sipendi utoto, nikafanya kumnyanyua ndio akatoka.
Sijajibu msg zake siku kadhaa, ananiandikia kama nina muda nimwambie tukutane.
 
Kiufupi sihitaji kuwa naye coz anapiga mizinga kuliko mtu wangu. Kibaya zaidi kuna muda anaomba hadi vitu vidogo sana! Muda mwingine upo kazini anakubeep wee, ukimpigia hoo nitumie mia kwenye airtel money nina kazi nayo (wakati huo asubuhi umempa labda 30)
Hadi mtu niliyekaa naye anauliza vipi wifi anakuomba 200 au au mia mbili elfu!
Kiufupi wale wadada wa kiswahili sana ni changamoto, hawajiongezi.
 
Back
Top Bottom