Ananiacha hoooiii!!! Lakini nasema shindwa shetani

wagaba

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,106
603
Mitihani mingine hapa duniani bhana, matatizo tupu.

Hapa kwa work place yangu, kuna dada mlimbwende hasa, amesimamia kucha kishenzi. hana muda mrefu toka aanze job. Mimi ni kibosile wake, lakini napambana na majaribu nisije haribu msimamo wangu wa kukaa mbali na intimate relationship na co workers.

Tatizo ni kwamba, tukiwasiliana kikazi yy anakuja kivingine sana. Mitego kibao
Siku zinavyozidi kwenda shetani anataka kushinda hili gemu.

Sijawahi kuharibu huu msimamo toka nianze kazi.
Kwa mara ya kwanza leo amenialika dinner kwa Hotel. Atakuwa na marafiki zake wawili.
Jamani hii mitego vipi? Si ndo mwanzo wa kuharibu kazi!!
 
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya
 
Kimwana chenyewe ni cha 26yrs, kirefu chembamba. jamani hizo hips ndo balaa. kweli mm naona hatari mbele yangu. anajituma sana kazini na ana heshimu kazi yake kwa kweli.
Nafikiria kuingia mitini hiyo dinner leo.
 
Jaribu kushinda majaribu kamwe usikubali nafsi ikashindwa na tamaa za mwili za muda mfupi tu simamia malengo yako, wanawake ni wengi sana kaka and still u have a long way to go!! Take care
 
Mitihani mingine hapa duniani bhana, matatizo tupu.

Hapa kwa work place yangu, kuna dada mlimbwende hasa, amesimamia kucha kishenzi. hana muda mrefu toka aanze job. Mimi ni kibosile wake, lakini napambana na majaribu nisije haribu msimamo wangu wa kukaa mbali na intimate relationship na co workers.

Tatizo ni kwamba, tukiwasiliana kikazi yy anakuja kivingine sana. Mitego kibao
Siku zinavyozidi kwenda shetani anataka kushinda hili gemu.

Sijawahi kuharibu huu msimamo toka nianze kazi.
Kwa mara ya kwanza leo amenialika dinner kwa Hotel. Atakuwa na marafiki zake wawili.
Jamani hii mitego vipi? Si ndo mwanzo wa kuharibu kazi!!

Ndugu yangu ukipata hisia hizo basi rudi home kwa Mkeo kabla mambo hayajaharibika

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
paka mzima unaogopa samaki?
Asprin

Kongosho we kiboko, maadili ya kazi weka kando. ndo unavyopendekeza!
Hii ofisi itakalika tena kweli. Au ndo itakuwa uwanja wa mapenzi mwanzo mwisho. Sidhani kama kazi itafanyika tena hapa.
na wengi wao hawawezi kujizuia, nahisi ataanza kuhadithia na wenzake hapa.Hao wenzake hadi sasa wanantolea mimacho kishenzi manake pia niliwapiga chini. Ila huyu ni kifaa kimesimama na am sure ananiota akilala.
 
Bosi vibaya hivoooo! Acha ushamba tule maraha ya dunia! Haichi muhuri kuwa imeingia kwangu
 
Kama analipa na uko single why not......ama wewe ni lile kundi la tatu. Chengine ukifika anza kuhubiri......

Nahofia kuharibu kazi. I wish angekuwa ofisi nyingine. Ningekuwa nimemalizana nae kitambo sana.
 
Bosi vibaya hivoooo! Acha ushamba tule maraha ya dunia! Haichi muhuri kuwa imeingia kwangu

Lara 1. I wish angekuwa anafanya kazi ofisi nyingine, ningeshampitia long time kitambo. Yupo karibu yangu mno (mm ni immediate kibosile wake).
 
basi wewe utakua umeoa ndo maana una unaogopa na ndoa yako itakua haina mda mrefu
 
nenda kijana ukawagegede wote watatu...ofa kama hivo haziji kila leo

na hao wawili kama ndo vimwana kama yeye, duuh, uzalendo lazima utanishinda hapo. Ila yeye nouma.
Napata wazo la kumhamisha ofisi/kitengo ili niwe huru nifanye ugegedaji. Ndani ya kitengo kimoja nitaharibu kazi.
 
basi wewe utakua umeoa ndo maana una unaogopa na ndoa yako itakua haina mda mrefu
hapa si suala la ndoa. Mbona tunapiga tu na ndoa zimesimama fresh hasa.
mapenzi kazini yanaleta matatitho.
 
Bandiko la Mchawi utaliona tu.. Sijui ataacha Lini ushirikina..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom