wagaba
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,106
- 603
Mitihani mingine hapa duniani bhana, matatizo tupu.
Hapa kwa work place yangu, kuna dada mlimbwende hasa, amesimamia kucha kishenzi. hana muda mrefu toka aanze job. Mimi ni kibosile wake, lakini napambana na majaribu nisije haribu msimamo wangu wa kukaa mbali na intimate relationship na co workers.
Tatizo ni kwamba, tukiwasiliana kikazi yy anakuja kivingine sana. Mitego kibao
Siku zinavyozidi kwenda shetani anataka kushinda hili gemu.
Sijawahi kuharibu huu msimamo toka nianze kazi.
Kwa mara ya kwanza leo amenialika dinner kwa Hotel. Atakuwa na marafiki zake wawili.
Jamani hii mitego vipi? Si ndo mwanzo wa kuharibu kazi!!