Kwa sababu gani mkuu"Nina wasiwasi na Nassari...."
dogo janja kaleta kizaazaa ndani ya politiki"Nina wasiwasi na Nassari...."
Mimi mara tatu yako mkuu"Nina wasiwasi na Nassari...."
Nassari juzi ametangaza kuwa anaepingana na Magufuri atakuwa ni kichaa. Atakuwa msaliti huyu"Nina wasiwasi na Nassari...."
Nassari juzi ametangaza kuwa anaepingana na Magufuri atakuwa ni kichaa. Atakuwa msaliti huyu
"Asiyemuunga mkono jpm, ni kichaaa" Josh NasariKwa sababu gani mkuu
Manina ndio kinachoendelea kumbe?"Asiyemuunga mkono jpm, ni kichaaa" Josh Nasari
Manina nani mkuu? Mimi au Nasar au Lema?Manina ndio kinachoendelea kumbe?
Michezo ya siasa ni migumu, hapo alikuwa anamlainisha kiranja mkuu ili afanikishe miradi yake, ulitaka amponde live? Mara nyingine unatakiwa kuwa mjanja mambo yaendeNassari juzi ametangaza kuwa anaepingana na Magufuri atakuwa ni kichaa. Atakuwa msaliti huyu
Wananongona