Anamwambia Nini?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
IMG_6618%255B1%255D.JPG
 
Ni maoni yake NASARI kosa liko wapi.
Turudi kwenye mada, "uko kituoni unakua unalala na nani'?
 
Nassari juzi ametangaza kuwa anaepingana na Magufuri atakuwa ni kichaa. Atakuwa msaliti huyu
Michezo ya siasa ni migumu, hapo alikuwa anamlainisha kiranja mkuu ili afanikishe miradi yake, ulitaka amponde live? Mara nyingine unatakiwa kuwa mjanja mambo yaende
 
Back
Top Bottom