Anamsanifu rafiki yake, kisa mkewe kamdanganya

Nndu wa Selote

JF-Expert Member
Jun 21, 2012
733
520
Ilianza kama utani, akanza kumlamba mke wa rafiki yake mpendwa. Rafiki yake, (Mwenye mke) kaanza mikwara ambayo haieleweki kwa mkewe akimwambia, ooh,  mbona naona siku hizi mko karibu sana na rafiki yangu. Mikwara ilipozidi, mke akahisi mumewe anaweza kufuatilia na kugundua kinachoendelea. Akaamua kumweleza mumewe kuwa ni kweli huyu rafiki yako amekuwa akinitaka lakini nikamkatalia. Mume kashangaa, kakata mawasiliano na rafiki yake na kamtangaza kwa ndugu, amaa na marafiki kuwa huyo rafiki yake ana tabia mbaya sana kwa vile alikuwa anamtongoza mke wake. Baada ya miaka kadhaa wakarudisha urafiki lakini kimachalemachale huku mwenye mke akimsanifu rafiki yake kama vile anatamani kumwambia ''mshenzi ulitaka kutembea na mke wangu ukakuta yuko stable ukashindwa''. Ukweli ni kwamba alishatembea naye zaidi ya mara nne. Anatamani ampe jamaa live kwa vile sanifu zimezidi lakini anasita. Wewe ungefanyaje na alishakutangazia kwa watu kwamba ulikuwa ukimtongoza mkewe ? Kumbuka, hapo mke anaonekana ni shujaa kwa vile "alikukatalia" na akaamua kumweleza mumewe !   
 
mkubwa ulimramba mke wa rafiki yako? umejuaje ni mara nne? duh? we muambie tu kuwa umeshakula hiyo kitu ataacha kukusanifu na urafiki wenu utaimarika zaidi!
 
Ilianza kama utani, akanza kumlamba mke wa rafiki yake mpendwa. Rafiki yake, (Mwenye mke) kaanza mikwara ambayo haieleweki kwa mkewe akimwambia, ooh,  mbona naona siku hizi mko karibu sana na rafiki yangu. Mikwara ilipozidi, mke akahisi mumewe anaweza kufuatilia na kugundua kinachoendelea. Akaamua kumweleza mumewe kuwa ni kweli huyu rafiki yako amekuwa akinitaka lakini nikamkatalia. Mume kashangaa, kakata mawasiliano na rafiki yake na kamtangaza kwa ndugu, amaa na marafiki kuwa huyo rafiki yake ana tabia mbaya sana kwa vile alikuwa anamtongoza mke wake. Baada ya miaka kadhaa wakarudisha urafiki lakini kimachalemachale huku mwenye mke akimsanifu rafiki yake kama vile anatamani kumwambia ''mshenzi ulitaka kutembea na mke wangu ukakuta yuko stable ukashindwa''. Ukweli ni kwamba alishatembea naye zaidi ya mara nne. Anatamani ampe jamaa live kwa vile sanifu zimezidi lakini anasita. Wewe ungefanyaje na alishakutangazia kwa watu kwamba ulikuwa ukimtongoza mkewe ? Kumbuka, hapo mke anaonekana ni shujaa kwa vile "alikukatalia" na akaamua kumweleza mumewe !   

sawa hili neno nbsp nimejirudia mara nyingi..lina maana gan kwan?
 
Nadhani ni masuala ya mtandao tu, maana nilikuwa nasubmit inagoma naona baadaye imekubali ikiwa na hilo neno !
 
Back
Top Bottom