AMINATA 9
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 2,120
- 641
tafadhali msaada wako unaweza kuinusuru roho ya dada huyu
kuna shost wangu anampenda sana mume wa mtu kinoma yani na kabla ya kuingia ktk mahusiano na huyo jamaa aliambiwa ka jamaa anamke na mtoto wakiume ila hakuamini na alipomuuliza huyo msela akamwambia hana wakaishi kwa mda wa miaka 2 hapo chuoni hadi shost wangu kapata mimba na kazaa mtoto wa kiume na sasa yuko na mwaka mmoja .huyo bwana sasa kamaliza skul na kuondoka msichana bado miaka 3 ndio amalize skul na wakati wakiishi wote mwanamme alikua nampiga snaa hata kipindi akiwa na mimba aliwai kumpiga mara mbili na hata alipojifungua wakati akiwa na wiki 2 tu toka atoke medical mshikaji alimwambia wajamiiane ali[okataa alimpiga na baadae kujamiana nae
yani alikua anamtesa sana shost wangu ila kila tuli[pomuambia a,muache alikua anasema anampenda sana ndio mana na haoni mwingine walishawai kuachana miezi sita ila shost wangu akawa na mtu mwingine ila alishindwa kukaa naye koz anampenda sana msela akarudi kwake ila pamoja na kurudi kipondo hakikuacha kuendelea na masharti makali na mpaka ana mialama mikononi na mwili sana tu koz ya huyo msela
sasa mi nikamwambia mwache akajibu cwez koz nampenda sana na sioni mwingine yani simpendi mwingine
sasa msela yuko kwao huko ndio anafanya mipango ya kumuacha yule mke wakle wa kwanza ili amuoe huyu sasa shost wangu ila kitu kinagoma kwani yule mama hataki kuachwa naye lo!
SASA KAMA MUNGU TU AMETOKEA KIJANA MMOJA ANAMPENDA SANA HUYU SHOST WANGU KWA MADAI YAKE KOZ CJAMUJUA BADO KA NAYE ANAMAANISHA AU LAH!.........Ila ye yuko bado anasikilizia wale waachane utafikiri kawekewa dawa mwe!
asa yuko dilema amuamini huyu mpya au amungoje yule comandoo wake huko au?????