Anameremeta..., anameremeta... x2

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,060
22,755
1. Anameremeta..., anameremeta... x2
Dalaly anameremeta, anameremeta...........

2. Anameremeta..., anameremeta... x2
Peter anameremeta, anameremeta..........

3. Anameremeta..., anameremeta... x2
Kafumu anameremeta, anameremeta.......

Untitled-1.jpg
Mgombea wa CCM Igunga
Dr. Dalaly Peter Kafumu
Kamishna wa Madini mstaafu
Hakika anapendeza.
 
Alishindwa kuwasaidia akiwa kamishina, ataweza leo akiwa mstaafu - uwezo wa kutenda kazi ukiwa umepungua?
Gamba jingine, Sera za chama chake zimemtoa hana la kufanya anatafuta angalau mshahara wa kusogezea ustaafu.
 
anameremeta na nini?mbona sijaona?kwanza mimi nilijua mwanajf mwenzetu kaolewa
 
Alishindwa kuwasaidia akiwa kamishina, ataweza leo akiwa mstaafu - uwezo wa kutenda kazi ukiwa umepungua?
Gamba jingine, Sera za chama chake zimemtoa hana la kufanya anatafuta angalau mshahara wa kusogezea ustaafu.
Hata kulamba viatu anaweza.
 
Back
Top Bottom