Analysis za siasa za kikanda na kimatabaka kati ya CHADEMA na CCM!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Kuna semi nyingi huwa tunazikuta humu majamvini juu ya matabaka na ukanda, lakini mala nyingi hoja hizi huibuliwa na wapenzi na mashabiki wa CCM, Sasa mimi nimekuwa nikitafakari kwa kina juu ya hoja hizi nikihusanisha na muonekano dhahili ndani ya jamii yetu, haswa kwa kuzingatia miundo ya vyama hivi hasimu vikubwa zaidi hapa kwetu Tanzania.

Kwanza, nikagundua kuwa kuna hoja kuwa CHADEMA ni chama cha kaskazini, kwa hoja hii nikajaribu kupitia makabrasha na kugundua kuwa ni afadhali kungekuwa na hoja kuwa CHADEMA ni chama cha kanda ya ziwa. Nasema hivi kwa nini? Ukiangalia mgawanyo wa wabunge utakuta wengi zaidi wametokea kanda hii mashuhuri kisiasa! Mfano ulio hai ni mkoa kama Simiyu nadhani asilimia 90 ni CHADEMA, sasa hoja ya kanda ya kaskazini inatoka wapi?

Huenda wajenga hoja labda wanachoangalia ni ngazi za viongozi wa juu kuwa mwenyekiti katoka huko na katibu mkuu katoka huko! Lakini je uongozi kabla ulikuwaje? Mbona kulikuwa hamna top wa huko?

Propaganda hizi zimeshika kasi na bahati mbaya watu wasio watafiti wanajikuwa outomatically wanaingia kwenye hoja hii dhaifu! CHADEMA mala nyingi hawajengi hoja za kutenganisha watanzania kama jinsi mahasimu wao CCM wanavyoona inafaa kwao na wanaiona ni hoja yenye mashiko kwao, labda ni kwa kuwa iliwahi kuwasaidia katika kipindi kilichopita, nakumbuka wakati Augustine Mrema akiwa kwenye CHati vilevile NCCR ilikuwa ni chama cha wachaga, na chama cha kaskazini!

Nonana kwa mtazamo wangu kama taifa inabidi hoja mfu za kutenganisha watu zipigwe marufuku!
 
Wanajenga za kukaribisha majanga katika Nchi .Kisa madaraka ila wajue kuna siku watajuta Mungu si mjinga na ubaguzi huu wanao uomba .
 
Kwa akili fupi walizonazo huwa wanafikili wanaiangamiza CHADEMA kumbe hawajui huwa wanaliangamiza Taifa!
 
Hatujakuelwa, maana kama unazungumzaBob Makani kuwa mwenyekiti ni kwa sababu alimwoa dada yake Mtei wakati wapo BOT. Hivyo Bob alikuwa shemeji ya Mtei. Hivo watu wanaposema chama kama saccos ya ukoo wewe mbururla kaa kimya
 
vitani kila siraha inatumika, kama unaweza ukampiga tikitaka mtu akafa sawa, kama ukamtemea mate akafa sawa, kama rungu, AKA 47, grunet, bomu, mizinga,40barrales, F-35, B52, ARTILLERIES n.k. Angalizo, siraha unayoitumia yaweza kutumika tena dhidi yako.
 
Wanajenga za kukaribisha majanga katika Nchi .Kisa madaraka ila wajue kuna siku watajuta Mungu si mjinga na ubaguzi huu wanao uomba .

Mkuu ipo siku CCM watajilaumu sana kwa kuchekelea maswala kama hayo,udini,ukanda na ukabila! Unajua wanakufa kifo cha kuumizwa ndiyo maana wanajikanyaga kanyaga na kurusha rusha miguu.
 
vitani kila siraha inatumika, kama unaweza ukampiga tikitaka mtu akafa sawa, kama ukamtemea mate akafa sawa, kama rungu, AKA 47, grunet, bomu, mizinga,40barrales, F-35, B52, ARTILLERIES n.k. Angalizo, siraha unayoitumia yaweza kutumika tena dhidi yako.

you must be mwanajeshi kutoka mkoa wa mara. sio siraha ni silaha mkuu.
a
halafu unapenda na kuzijua sana silaha.
 
Kamanda watu wanaangalia mwenye kampuni hawaangalii matawi ya kampuni mwenye kampuni yupo Tengeru.
 
ccm ni ya kichifu mbona wengi wao wana majina tuliyoyazoeaaaa nnauye le mutuz makamba riz salma nchimbi kigoda mwinyi mkapa angalia wakuu wa mikoa na wilaya gama kwa mfano daaaaah cc kina ngaseku tutasubiria sanaaaaaa
 
Hatujakuelwa, maana kama unazungumzaBob Makani kuwa mwenyekiti ni kwa sababu alimwoa dada yake Mtei wakati wapo BOT. Hivyo Bob alikuwa shemeji ya Mtei. Hivo watu wanaposema chama kama saccos ya ukoo wewe mbururla kaa kimya
Sema hujamuelewa. Usitumie wingi wakati pekee unatype kujifurahisha
 
Hatujakuelwa, maana kama unazungumzaBob Makani kuwa mwenyekiti ni kwa sababu alimwoa dada yake Mtei wakati wapo BOT. Hivyo Bob alikuwa shemeji ya Mtei. Hivo watu wanaposema chama kama saccos ya ukoo wewe mbururla kaa kimya

Ndugu ya kweli hayo?,Ila hata kama ndo hivyo wakati chadema inaanza mlikaa kimya mkijua ni JOKA LA KIBISA,sasa ina meno mnaanza kulalama.Wakati huo Mtei kastaafu ulitaka akufuate huko ulipo akuombe uwe mwenyekiti wkt ulikuwa unakidharau chadema?Ni kweli kuwa walioanzisha ni marafiki au ndugu lkn bila kuwa watu wa karibu mtapeanaje mawazo ya kuanzisha kitu kikubwa hivyo?
Hata Mzee Nyerere alitambulishwa kwa Mzee Aikael Mbowe na mtu wa karibu na familia ya Mbowe na mpaka wakaaminiana na kuaminiana wakafika pale waalipofika,bila ukaribu hakuna kitu mnaweza fanya kwa nia,lengo au dhumuni moja,WACHA NIENDELEE ZANGU NA SAFARI.nashindwa kukuelewa ndugu
 
aliwazalo mpu+mbavu ndilo humtokea.huo udini na ukabila wanaoeneza umeanza kuwatokea.
 
Kamanda watu wanaangalia mwenye kampuni hawaangalii matawi ya kampuni mwenye kampuni yupo Tengeru.

bora chadema hata mgawanyo tuu wa kidini unaswihii. mbona ccm top 5 almost wote waislam tuu. wenyeviti na makatibu wa mikoa na wilaya 75% ni muslim. 75% ya regional commissioners ni watoto wa vigogo na ndugu wa mkuu wa kaya hayo yote hayaonwi kinachoonwa ni chadema tuu, tuache kuzunguzia sera zenye lengo la kutugawa kwa kutupa mawe kwa wenzetu wakati tunamiki nyumba za vioo. tujikite kwenye namna ya kuliunganisha taifa.
 
bora chadema hata mgawanyo tuu wa kidini unaswihii. Mbona ccm top 5 almost wote waislam tuu. Wenyeviti na makatibu wa mikoa na wilaya 75% ni muslim. 75% ya regional commissioners ni watoto wa vigogo na ndugu wa mkuu wa kaya hayo yote hayaonwi kinachoonwa ni chadema tuu, tuache kuzunguzia sera zenye lengo la kutugawa kwa kutupa mawe kwa wenzetu wakati tunamiki nyumba za vioo. Tujikite kwenye namna ya kuliunganisha taifa.

rais jk=muslim,vp m.g.bilali=muslim,igp,s.mwema=muslim,mkuu wa mkoa dsm,said m. Sadik=muslim,rpc mbeya,diwan athumani=muslim,naibu waziri wa fedha,saada mkuya=muslim,naibu waziri mawasilino s.&tech,january makamba=muslim,rc ruvuma,said mwambungu=muslim,rc morogoro.........,muslim hao ni miongoni tu ambao nimewakumbuka list inaendelea na kama unawakumbuka wengine na nyadhifa zao plz weka hapa then tuchambue ukweli wa udini,na ukabila,undugu/kujuana, katika vyama hivi viwili.kumbuka no research no right to speak/write.
 
DUUUUUUUI inaelekea wanapozungumzia ukanda wengine hawaelewi ila ukweli ni kuwa wabunge wengi wa CDM wametokea kanda ya ziwa je? Wabunge wengi wa viti maalum wametokea wapi? Naomba hiyo analysis yako tena mkuu
 
Back
Top Bottom