Analysis: Kikwete kafanikiwa Kupata Forum US (CCM Intellectuals)!

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Tumeona matawi ya ccm yanaongezeka foreign land. Kifupi ni kwamba balozi wa Tanzania Marekani kafanikiwa tena kuwaleta na kuwakusanyisha Watanzania DC. Hivi tuna jadili haya baadhi ya Watanzania wameonekana kumpigia kikwete makofi na kumpa heshima kubwa hapo kwenye land yao. Kitu cha kujiuuliza ni haya, aliyoyafanya kikwete kwenye uchaguzi wa 2010 (kuiba kura), kusababisha vifo Arusha, Mbagala na Gongo la Mboto, wizi wa funds za Watanzania EPA, Dowans, UDA inflation iliojuu na maisha mabaya Tanzania inamaanisha nini? Ukosefu wa Umeme? Uhaini Igunga?

The truth ni kwamba wapo makundi ya Watanzania ambao hata tufanye kitu gani kupambana na hii serikali ya ccm wao wapo tayari kuwapa forum ccm ili waonekane wapo relevant na watanzania. Tunayo yafahamu mpaka sasa hii sio diaspora ya watanzania ila ni kundi la watanzania dogo linalotafuta deals na nafasi za ku-replace ccm waliomadarakani.

Sasa wale walio-members kwenye dicota wasiojua maana ya hiki kikundi, waulize reports za hii mikutano yao au mafanikio yao yapo wapi? The facts kwamba wapo US wajiulize kumleta jk DC ni kumeleta maisha mazuri au wame-improve uchumi kiasi gani. Leo wanafanya parties na kusherehekea uhuru wa miaka 50 lakini watanzania hawana katiba, hawana maendeleo na mafanikio makubwa ni rights za kuiba na ku-cover up?

Hongereni balozi na dicota (future ministers) kwa kupigania investments Tanzania....

attachment.php

Whats relevant?

arushamazishi.jpg

Bado tunakazi kubwa kuwaelimisha Watanzania popote walipo duniani....soma matokeo ya Zambia utaelewa vizuri!
 
Hawa jamaa hawajatumia vizuri taalama yao na uelewa vizuri kwa faida ya Watanzania. Walipaswa kumchallenge JK ili alazimike kurekebisha makosa yake mengi anayofanya hapa TZ. Ajali za uzembe, mauaji ya arusha, majanga ya mabomu ya uzembe, 88% ya form wamefeli, maskini wamefikia mil 12 sasa wanaokula mlo moja kwa siku, wao wanampigia makosi. No way, wanatuchaganya
 
Kutumia elimu yako ni kumponda Rais KIKWETE?.Hizo ndizo fikra fupi.EPA,UDA n.k yeye ndie aliiba au ni shangazi zenu na wajomba zenu na mababa zenu ndio wezi?.kazi ya Kikwete ni kuwashughulikia na amefaulu.NIMEISHASEMA YA ZAMBIA KUTOKEA TZ NI NDOTO MAANA CCM NI CHAMA KINACHOKUBALI KWENDA NA WAKATI,KITAMSIMAMISHA MGOMBEA ANAYEKUBALIKA ZAIDI 2015.TUACHE MTIMANYONGO JK ANAKUBALIKA NA 2010 ALITUTAMDIKA CDM,TUKUBALI TUSIKUBALI HATUNA RAIS MWINGINE TZ NI JAKAYA.
 
Si unaona sasa unaufikiria uchaguzi wa 2015 wakati matatizo mengi yaliyopo hapa nchini kwetu hatujayapunguza hata chembe.Ccm wote mmeathirika sn yaani mnaufikiria uchaguzi kuliko kutatua matatizo ya Watanzania!!?shame on you
 
Kutumia elimu yako ni kumponda Rais KIKWETE?.Hizo ndizo fikra fupi.EPA,UDA n.k yeye ndie aliiba au ni shangazi zenu na wajomba zenu na mababa zenu ndio wezi?.kazi ya Kikwete ni kuwashughulikia na amefaulu.NIMEISHASEMA YA ZAMBIA KUTOKEA TZ NI NDOTO MAANA CCM NI CHAMA KINACHOKUBALI KWENDA NA WAKATI,KITAMSIMAMISHA MGOMBEA ANAYEKUBALIKA ZAIDI 2015.TUACHE MTIMANYONGO JK ANAKUBALIKA NA 2010 ALITUTAMDIKA CDM,TUKUBALI TUSIKUBALI HATUNA RAIS MWINGINE TZ NI JAKAYA.

Are you one of the great thinkers of this forum ? If yes basi tumeingiliwa hapa sasa maana upupu unaongezeka kila siku .Kuna mahali pa mawazo ya kijinga kijinga na si hapa JF .Nenda michuzi kaunge mkono kila kitu kule , FB wako wapuuzi na wenye mawazo mgando kama wewe , Uhuru , Mzalendo magazeti na Habari leo .Okoa muda wetu please .
 
Watz waliopo nje usiwawekee maanan,kwanza hawapg kura,pili wengine hata ndugu zao hawawajal,,,,,,,ndo watazungumzia ya walalataaban
 
katika watu wenye mawazo mgando ww hiv kwa maisha ya sasa ya sukar juu mafuta ya taa juu ambayo hata babu yako kijijin anayatumia kwa kibatari unadhubutu kumsifu jk kwanza unanipandisha hasira nitaja vunja laptop yangu bure ondoka pls
 
Hawana jipya hao, Tanzania itajengwa na watanzania tuliopo hapa hapa. Ninavyo-post hii comment sina umeme home, wanaijua tabu ya kukaa bila power hao? They are Licking his feet for all they want is dual citizenship, nothing else.
 
wengine hamjawajua wapo majuu anapoenda kumpokea Raisi na kuonekana kwenye magazeti na tv ndio salamu zenyewe hizo.Mtajuaje wako huko ?

Pili,ni kwamba toka zamani tunajua msomi ni yule aliyesoma mpaka ng'ambo na Raisi anajua hivyo.wakirudi hao hawakosi mavyeo, mliopo hapa mlie tu.
Anyway am just kidding.
 
Are you one of the great thinkers of this forum ? If yes basi tumeingiliwa hapa sasa maana upupu unaongezeka kila siku .Kuna mahali pa mawazo ya kijinga kijinga na si hapa JF .Nenda michuzi kaunge mkono kila kitu kule , FB wako wapuuzi na wenye mawazo mgando kama wewe , Uhuru , Mzalendo magazeti na Habari leo .Okoa muda wetu please .

twahil na gazeti la Jamba Leo
 
Kutumia elimu yako ni kumponda Rais KIKWETE?.Hizo ndizo fikra fupi.EPA,UDA n.k yeye ndie aliiba au ni shangazi zenu na wajomba zenu na mababa zenu ndio wezi?.kazi ya Kikwete ni kuwashughulikia na amefaulu.NIMEISHASEMA YA ZAMBIA KUTOKEA TZ NI NDOTO MAANA CCM NI CHAMA KINACHOKUBALI KWENDA NA WAKATI,KITAMSIMAMISHA MGOMBEA ANAYEKUBALIKA ZAIDI 2015.TUACHE MTIMANYONGO JK ANAKUBALIKA NA 2010 ALITUTAMDIKA CDM,TUKUBALI TUSIKUBALI HATUNA RAIS MWINGINE TZ NI JAKAYA.

Kaka hebu nisaidie hapo kwenye nyekundu amafaulu kumshughulikia nani?.
 
Vipi kuhusu authenticity ya hii picha..?
Pili... iyo body language ya JK umeiona?
 
Hawa jamaa hawajatumia vizuri taalama yao na uelewa vizuri kwa faida ya Watanzania. Walipaswa kumchallenge JK ili alazimike kurekebisha makosa yake mengi anayofanya hapa TZ. Ajali za uzembe, mauaji ya arusha, majanga ya mabomu ya uzembe, 88% ya form wamefeli, maskini wamefikia mil 12 sasa wanaokula mlo moja kwa siku, wao wanampigia makosi. No way, wanatuchaganya

Ndugu Aweda. Kundi la wanaoitwa Watanzania walioko abroad ambao wanampigia makofi ni zao la JK. Hawawezi kufikiria mbali na urefu wa pua zao. Wengi walipewa msaada naye wakati akiwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. Cha msingi ni kutokufa moyo sisi wazalendo wa kweli. Sasa hivi tunatakiwa kueneza sera za CDM kwa kwenda mbele. mtalii yuko kipindi cha lala salama.mwache afanye atakavyo maana historia haina cha kumkumbuka. Wale vilaza walioko huko nje tuachane nao bali sisi tuangalie Tanzania ya vizazi vpijavyo. Tuangali namna ya kuweka mkakati wa kupambana na wezi wa raslimali zetu na kuirudisha Tanzania mikononi mwa wananchi hapo 2015 tutaporudisha migodi ya madini inayoibwa, mbuga zetu za wanyama na ardhi kwa waja wa nchi hii
 
Hawa jamaa hawajatumia vizuri taalama yao na uelewa vizuri kwa faida ya Watanzania. ...

Hili limekuwa ni tatizo kwa watu wengi wenye taaluma, ikiwa ni pamoja na wengi walio kwenye taasisi mbalimbali za umma, vyuo vikuu, n.k. Kifupi wanafaidika na status-quo na kama walivyo wanasiasa, wao pia wanaogopa mabadiliko. Yatakula kwao ..
 
Ukichunguza kwa makini picha zote (zimewekwa vizuri katika blogu ta kitengo cha mawasiliano cha ikulu) utagundua haya yafuatayo:
1. hadhira haikuwa na zaidi ya watu 150
2. Nusu ya hadhira ni washiriki waliosafiri kutoka Tanzania (ikiwa ni pamoja na maafisa wa mashirika yaliyodhamini huo mkusanyiko)
3. Robo ni watu wa usalama wa rais
4. Kwa hiyo kwa kuzingatia hesabu yangu ya 150, Watanzania wanaoishi Marekani walioshiriki si zaidi ya 50.
5. Watanzania wanaoishi Marekani ni zaidi ya laki moja na hawa i watu wenye welewa na uhuru wa kuchagua lipi jema na lipi baya - wengine wanaunga mkono harakati za kumletea maendeleo mwananchi wa kawaida na wengine wanaunga mkono CCM kwa kujivalisha koti la DICOTA (hiyo ni haki yao kama ambavyo tuna hao watanzania wasomi waliokubali kufuja pesa za walipkodi kuja kumsikiliza JK akihutubia DICOTA jijini DC!!! Shame on them). Watanzania wanaoishi nje wanatoa mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania kwa njia ambayo hata Rais wetu anashindwa ku-acknowledge. Angalia suala la remittance: dola mia anayotumiwa shangazi au mama inaingia katika uchumi wa taifa. Tukwepe utamaduni wa kufanya mahitimisho-jumuisho.:nimekataa
 
Back
Top Bottom