Analysis: End of Gadaffi, Reasons for Fear Kikwete, Mugabe, Museveni...

Gadaffi hata akitoka usitegemee amani Libya maana kama wananchi ndio wangemto isingekuwa issue lakini kwa sababu ya NATO tusitegemee jipya ni vita kwenda mbele
 
Ungekuwa na akili hata kidogo usingeshangilia nchi za magharbi (NATO) kuja kuharibu nchi ya kiafrika eti kwa kisingizio cha demokrasia! Huku ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuendeleza wizi wa mafuta!
Mbona sisi hatuwachagulii MALKIA kule Uingereza?
Ni huyo huyo miaka nenda rudi, na akitoka anamuachia mwanae!
Acheni utumwa wa akili!
 
Ongera sana wanalibya sasa kaeni kwenye TV mwangalie nasi tunavyovya mapinduz waooooooooooooooo
 
[QUaOTE=3squere;2391252]Ongera sana wanalibya sasa kaeni kwenye TV mwangalie nasi tunavyovya mapinduz waooooooooooooooo[/QUOTE]<br />
<br />
Thubutu! Si kwa waoga kama nyie..
 
Gadaffi hata akitoka usitegemee amani Libya maana kama wananchi ndio wangemto isingekuwa issue lakini kwa sababu ya NATO tusitegemee jipya ni vita kwenda mbele
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Huo ni mdomo wako una hiari ya kusema lolote
 
Hayo ya bongo na ya Libya ni tofauti sana.Chuki za kikabila na visasi ndo shida Libya.Hivi mnadhani mkitaka kumwondoa JK kwasababu tu ni mkweree mtafanikiwa?Wengine tutamlinda na ku fight for the nation kama hiyo ndo sababu ya kumwondoa madarakani.Linganisheni kwanza aliyoyafanya Gaddafi kwa maendeleo ya nchi yake na wananchi wa Taifa lake vs sisi TZ tulliofanyiwa na viongozi wetu.Imagine ufisadi uwe haupo halafu eti kwasababu tu yeye ni mkweree ndo umwondoe madarakani.No way.Colonel was good for Libya and Afrika.

Jaribuni basi muone kama hao NATO hawajajiunga na JK vs nyie.Na mkiona mnaungwa mkono kumwondoa JK, madarakani kwa nguvu na mataifa ya NATO,basi mjuwe kuwa ana mpango mzuri wa kuliendeleza Taifa na hivyo tunaonewa wivu.Mkiona mnazidi kuwa masikini na wao viongozi wetu wanazidi kutajirika,basi ujuwe kuwa kumwondoa madarakani kwa nguvu ni ndoto ya mchana kwasababu hawatataka kulilipa taifa pesa za kutosha kutokana na rasilimali wanazochota.

Gaddafi however hajaondolewa kwa nguvu ya umma kama tunavyo aminishwa.NATo walidai wanaenda kuwalinda walibya wasiuwawe na Colonel.Sababu ambayo ni mfu na a typical none sense indeed.

kwani aliyekuambia tutamtoa kwa sababu yeye ni ****** ni nani? baada ya kuona mbegu mlizopanda za udini hazifanikiwe mnaanza kuleta za ukabila ee.
 
Hayo ya bongo na ya Libya ni tofauti sana.Chuki za kikabila na visasi ndo shida Libya.Hivi mnadhani mkitaka kumwondoa JK kwasababu tu ni mkweree mtafanikiwa?Wengine tutamlinda na ku fight for the nation kama hiyo ndo sababu ya kumwondoa madarakani.Linganisheni kwanza aliyoyafanya Gaddafi kwa maendeleo ya nchi yake na wananchi wa Taifa lake vs sisi TZ tulliofanyiwa na viongozi wetu.Imagine ufisadi uwe haupo halafu eti kwasababu tu yeye ni mkweree ndo umwondoe madarakani.No way.Colonel was good for Libya and Afrika.

Jaribuni basi muone kama hao NATO hawajajiunga na JK vs nyie.Na mkiona mnaungwa mkono kumwondoa JK, madarakani kwa nguvu na mataifa ya NATO,basi mjuwe kuwa ana mpango mzuri wa kuliendeleza Taifa na hivyo tunaonewa wivu.Mkiona mnazidi kuwa masikini na wao viongozi wetu wanazidi kutajirika,basi ujuwe kuwa kumwondoa madarakani kwa nguvu ni ndoto ya mchana kwasababu hawatataka kulilipa taifa pesa za kutosha kutokana na rasilimali wanazochota.

Gaddafi however hajaondolewa kwa nguvu ya umma kama tunavyo aminishwa.NATo walidai wanaenda kuwalinda walibya wasiuwawe na Colonel.Sababu ambayo ni mfu na a typical none sense indeed.

Hao NATO unaowaongelea hapa wanawalaumu kwa kuwalinda wala rushwa na mafisadi siku watakapo katashauri mjiandae. Niangalizo tu.
 
Hayo ya bongo na ya Libya ni tofauti sana.Chuki za kikabila na visasi ndo shida Libya.Hivi mnadhani mkitaka kumwondoa JK kwasababu tu ni mkweree mtafanikiwa?Wengine tutamlinda na ku fight for the nation kama hiyo ndo sababu ya kumwondoa madarakani.Linganisheni kwanza aliyoyafanya Gaddafi kwa maendeleo ya nchi yake na wananchi wa Taifa lake vs sisi TZ tulliofanyiwa na viongozi wetu.Imagine ufisadi uwe haupo halafu eti kwasababu tu yeye ni mkweree ndo umwondoe madarakani.No way.Colonel was good for Libya and Afrika.

Jaribuni basi muone kama hao NATO hawajajiunga na JK vs nyie.Na mkiona mnaungwa mkono kumwondoa JK, madarakani kwa nguvu na mataifa ya NATO,basi mjuwe kuwa ana mpango mzuri wa kuliendeleza Taifa na hivyo tunaonewa wivu.Mkiona mnazidi kuwa masikini na wao viongozi wetu wanazidi kutajirika,basi ujuwe kuwa kumwondoa madarakani kwa nguvu ni ndoto ya mchana kwasababu hawatataka kulilipa taifa pesa za kutosha kutokana na rasilimali wanazochota.

Gaddafi however hajaondolewa kwa nguvu ya umma kama tunavyo aminishwa.NATo walidai wanaenda kuwalinda walibya wasiuwawe na Colonel.Sababu ambayo ni mfu na a typical none sense indeed.
tumia ingalao shingo kufikiri kuliko hayo MASUBIRI
nani anamchukia JK kwa sababu ya kabila lake??????????????? kabila lina functional role gani katika utawala wa JK??????????
 
Ungekuwa na akili hata kidogo usingeshangilia nchi za magharbi (NATO) kuja kuharibu nchi ya kiafrika eti kwa kisingizio cha demokrasia! Huku ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuendeleza wizi wa mafuta!
Mbona sisi hatuwachagulii MALKIA kule Uingereza?
Ni huyo huyo miaka nenda rudi, na akitoka anamuachia mwanae!
Acheni utumwa wa akili!
asaad wa SYRIA ameachwa naona wana wa syria wanafaidi namna anavyotatua mzozo
 
Baada ya kuongoza nchi ya Libya kwa miaka takribani 40, sasa kuna kila dalili kwamba utawala wa Kanali Gaddafi unelekea mwishoni baada ya waasi kufanikiwa kuingia Makao makuu ya serikali Tripoli na kuteka sehem kubwa ya mji huo.

Watoto wawili wa Daddafi wamekamatwa na wako mikononi mwa waasi na sasa mapigano yanaendelea kwenye makazi ya Gaddafi huku waasi hao wakipata upinzani mdogo kutoka kwa vikosi vya Gaddafi. It is just a matter of time before he surrender or get killed.

Siombei hali hii itokee TZ, lkn ukiwa na serikali isiyojali wananchi wake, yenye viongozi wala rushwa, mafisadi, wanaojali maslahi binafsi na kujitajirisha kila kukicha, wanaosikiliza wafanyabiashara na wawekezaji wachache huku wananchi wengi wakizidi kutumbukia kwenye lindi la umaskini na gharama za maisha zikizidi kupanda kama ilivo sasa TZ, haya yanayotokea Libya, yaliyotokea Misri na Tunisia yanaweza kuja kutokea hapa kwetu.

Wapo wanaosema waTZ ni waoga, wapole, na kamwe hawawezi kuthubutu kuwa na ujasiri wa kufanya hayo waliofanya wenzetu wa North Africa...Mm napenda kutoa angalizo hasa kwa viongozi wetu wa serikali ya CCM ambao ndo mmekuwa mkihubiri amani na utulivu ili muendelee kutuibia kiurahisi.. kadri jinsi mnavopata ujasiri wa kuendelea kutuibia na kufilisi nchi yetu huku maisha yetu yakizidi kuwa magumu ndo jinsi nasi uoga na upole wetu unavozidi kutoweka badala yake tunapata ujasiri wa kulinda raslimali zetu.

Mkiendelea na kasi hii ya kuiba huku mnalindana, kupiga wanafunzi wa vyuo mnaposhindwa kutimiza wajibu wenu, kuua raia migodini wanaodai haki zao, kuua raia ktk maandamano ya amani, kutumia magari ya kifahari (1 sh 280 million) na kulipana posho luluki huku mkidanganya wananchi eti nchi yetu ni maskini wakati nyie na watoto wenu mkiishi maisha ya kifahari kuliko viongozi wa mataifa ya magharibi yalioendelea...nahawakikishieni, is just matter of time, uoga na opole utaisha very soon na yaliyotekea Misri yanakuja TZ. Yeye aliye na sikio na ayasikie maneono haya.
 
Nimetizama Hata Liz1 wa Libya nae kadakwa Libya wameweza Tanzania Nasi Tutaweza

Hata kaka yake anaitwa Mohamed kajisalimisha na yuko under house arest. Walivyokuwa wanawahamasisha wenzao kujitoa muhanga mpaka mwamume na mwanamke wa mwisho lo kumbe wao wanajisalimisha dunia hii kunakuvishana mkenge eti umekula kiapo cha utii na uaminifu kwa wezi na wakandamizaji na uko tayari kufa kwa ajili yao, heri kwa walie mabinti walinzi wa gadaffi wamestuka wakavua magwanda wanashangilia ukombozi. Mie bado nawafagilia watoto wa Saddam walikufa kiume sio baba yao aliyesubiri kunyongwa kama itakavyo kuwa kwa Gaddafi na wanawe aibu kubwa. Hawa wezi wa hapa Tz wajiandae their days are numbered.
 
Miafrika ilishalaniwa na haina pa kutokea mtalia sana...mnasupport Ulaya na Marekani kuvamia Afrika ili viongozi wa Afrika waogope wasithubutu kubishana na Wazngu wakati huo huo ni nyie mnaosema serikali zinapigia magoti wazungu nyie mna nini nyie?!!!

Nani asiejua Ghadaff kaondolewa na Wazungu mana hawaheshim na kuwapigia magoti nani?!! akili hamna ndio mana mnapenda kusaidiwa..mnawaza uzinzi na dili tu useless kabisa!!!
 
Watanzania tunaweza, umma ukiamua hakuna awezae kupinga! lakini naamini ipo siku ndani ya hii miaka mitano kitaeleweka, lazima huyu anaendesha biashara ikulu ang'oke!!!!!!!
 
Miafrika ilishalaniwa na haina pa kutokea mtalia sana...mnasupport Ulaya na Marekani kuvamia Afrika ili viongozi wa Afrika waogope wasithubutu kubishana na Wazngu wakati huo huo ni nyie mnaosema serikali zinapigia magoti wazungu nyie mna nini nyie?!!!

Nani asiejua Ghadaff kaondolewa na Wazungu mana hawaheshim na kuwapigia magoti nani?!! akili hamna ndio mana mnapenda kusaidiwa..mnawaza uzinzi na dili tu useless kabisa!!!
Wazungu wakija kununua ardhi Rukwa mnawapa thousand of thousands of acres,
Wakija kukunua dhahabu yenu kwa bei chee mnawakaribisha
Wakitaka kuwaondoa viongozi wabovu kina Gaddafi na kina Kikwete mnawaona wabaya,

Congraturations NATO if you think you have any any reason to end CCM regime it doesn't matter how small is you are warmly welcome, you have my support.
Viongozi wababe wa Afrika Kina Mugabe, Mseveni including Kikwete m,,,i yanagonga kwa wakati huu.
Mwambieni mkw ere amkaribishe rafiki yake Gaddafi muone.
 
Jabali wamekliweza aisii,sikutegemea.Ubabe una mwisho mazee.

Heri ya hawa wa gadaffi ambao baba yao aliona mbali akawapele shule za millitary skills na ufisadi, atleast huko waliko shikiliwa wataweza kucorp na mazingira hayo. sasa hawa wakwetu hapa walio na skills za ufisadi tu hata jkt hawajapitia siku ya siku sijui itakaa je? mungu tuepushie mbali.
 
Back
Top Bottom