Analia nini huyu? tupia maneno..(Maige na mpiga kura)

Daah hana haibu huyu jamaa,nataman kumtukana na asikie ila dah,Tupa kuleeee mshamba tu huyo!!!
 
Elimu ni ufunguo wa maisha angesoma huyu asingepeleka njaa zake kwa mwanaume mwenzake. Someni msimame kwa miguu yenu somesheni watoto wenu la sivyo watakuja kulilia wanaume wenzenu kama hivi.
sio fresh. pigana usomeshe wanao tujenge kizazi kinachojitegemea sio ujinga kama huu.
View attachment 54832

Huyu MLIAJI kama hafanyi MAIGIZO (YA DARAJA LA JUU SANA) basi ana matatizo makubwa sana katika kichwa chake!!!!!!! Hawa ndio wanaosaidia wanasiasa wetu kujiamini kuwa majimbo yao wanakochaguliwa ni MALI ZAO BAADA YA KUPEWA UONGOZI
 
Hiki ni kielelezo cha jinsi wananchi wengi walivyoathirika na mfumo mbovu uliojengwa na CCM kwa kitambo sasa wa kutegemea na kuabudu fadhila za watu/viongozi binafsi (wafadhili/wahisani). Ndio maana hata kazi halisi za mbunge au kiongozi yeyote wa umma hazifahamiki vyema kwa wenzetu wengi. Kwao, atakachotoa mfukoni kuwadondoshea ndio kila kitu hata kama anawahujumu na kuwadhalilisha kiasi gani! Ujinga (ignorance) ni kitu kibaya sana.
 
Elimu ni ufunguo wa maisha angesoma huyu asingepeleka njaa zake kwa mwanaume mwenzake. Someni msimame kwa miguu yenu somesheni watoto wenu la sivyo watakuja kulilia wanaume wenzenu kama hivi.
sio fresh. pigana usomeshe wanao tujenge kizazi kinachojitegemea sio ujinga kama huu.
View attachment 54832
Jamani angalieni vizuri hata huyo mwizi (maige) analia kimoyo moyo.
 
Atakuwa analilia tishet na kofia kama wenzake! Viwalo noooma! Lakini imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu mwenzake!:crazy:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom