Analia nini huyu? tupia maneno..(Maige na mpiga kura)

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Elimu ni ufunguo wa maisha angesoma huyu asingepeleka njaa zake kwa mwanaume mwenzake. Someni msimame kwa miguu yenu somesheni watoto wenu la sivyo watakuja kulilia wanaume wenzenu kama hivi.
sio fresh. pigana usomeshe wanao tujenge kizazi kinachojitegemea sio ujinga kama huu.
542941_4094164917922_245787864_n.jpg
 
AAAAAAAAAAAA jamani Njaa ni kitu kibaya sana hizo nguvu na machozi angevipeleka shambani nadhani asinge muwaza hata huyo mwizi wa Twiga
 
haraka haraka unaweza ukadhani ni Dickson Makwaiya "Bambo" akifanya ukatuni wake.
Bwana Maige alipoenda kwao wananchi wake walilia sana eti bwana Maige ameonewa, kuna ambao pia walipiga maombi ili Bwana Maige arudi katika uwaziri wake. Kwahiyo huko vijijini kwao wanaamini Maige ametengenezewa fitna kumtoa katika uwaziri. Katika picha sio bwana Bambo, ila jina lake halisi ni Dickson Makwaya na sio Makwaiya.
 
Kama anamlilia mfadhili wa kumgawia hongo ndondogo, safari hii inakula kwake. Nani alimwambia achague gamba?
 
na wanaliwa kweli

wanasiasa wetu mtaji wao ni masikini. kwa mtu mstaarabu asingekubali hata hayo mapokezi kwani dhamira yake ingemshtaki. lakini kwa huyu maige, kwake ni sawa tu. kumbuka sku rostam anatangaza kuachia ngazi, watu walilia. inaonyesha namna gani tuna kazi kubwa mno kulikomboa taifa letu
 
Elimu ni ufunguo wa maisha angesoma huyu asingepeleka njaa zake kwa mwanaume mwenzake. pu***** zake
someni msimame kwa miguu yenu somesheni watoto wenu la sivyo watakuja kulilia wanaume wenzenu kama hivi.
sio fresh. pigana usomeshe wanao tujenge kizazi kinachojitegemea sio ujinga kama huu.
[AT
TACH=CONFIG]54832[/ATTACH]
Comedian
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom