Analalamika kuwa mke wake hamuandalii wala kumuita chakula kikiwa tayari na anamuachia ‘dada wa kazi’ afanye hivyo

mpasta

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
917
1,997
Jamaa Mtanga bana kaoa Mchaga miezi kama 6 iliyopita.

Enzi zote za uchumba mke alikuwa anajibidiisha kuandaa chakula cha mumewe, lakini sasa dada wa kazi ndio kila kitu kuandaa mpaka kumpa taarifa mume kuwa chakula kipo tayari mezani.

Sasa alikuja kuniuliza hilo jambo lipo sawa...kwa tamaduni za kwao Tanga mke ndio anampa taarifa mume kuwa chakula kipo tayari...

Sasa leo SIKUKUKU YA EID mume kasusa kula alivyopewa taarifa na house girl, mke kamjibu kaoe mke wa namna hiyo wa kukuita kila wakati wa maakuli.

Jamaa kaja kutaka ushauri, mie nimemjibu ni kawaida tu, tamaduni zinapishana asilazimishe mambo ya kwao Tanga, achukulie poa tu asikuze mambo yasiyo na msingi...

Je nimepatia au nimemuingiza chaka?
 
Mama zetu walipokuwa wanaolewa walikuwa wanajifunza tamaduni za alikoolewa na kujifunza.Hata kwa kuigiza tu.

Hawa wanawake tunaoa miaka hii anataka mwanaume uige tamaduni na taratibu alizojifunza mitaani!!

Ujinga tu ndio umewajaa. Kauli ndio ziro kabisa.

Ongeza mke wa pili uishi kwa Raha zako. Huyo unamuachia nyumba aendelee kuishi.
 
Kuna baadhi ya mambo hua nikisikia nashangaaga sana! Mimi sijui sababu nimekua nikijitegemea kwa muda mrefu!!

Nakumbuka nimeanza kuishi mwenyewe boarding school na kila kitu nikiwa na 13yrs hivi. Nimeanza kuishi na mwanamke nina 25yrs.

Ukweli sijaonaga sababu ya kuandaliwa chakula au hata kufuliwa. Nikitoka kazini nikikuta chakula nakula nisipokuta sio kesi napika mwenyewe na wide yupo anaangalia tv sipendagi sumbua watu kbs. Lkn unakuta mtu anaweza acha mkewe eti hajakaribishwa chakula!? Kweli!?

Kweli hua sielewagi.. wanaume hebu wapeni wake zenu uhuru vitu vidogo maliza mwenyewe! Mfano mke wangu hapendi dagaa na maharage mimi siku nipo home napika dagaa zangu vzr na maharage mafreeze siku ninahamu natoa napika ugali wangu safi!
 
Angeoa dada ake, huyo ni mtu mwingine mwenye utamaduni mwingine hvyo asiikuze sana hilo suala. Ashukuru ht chakula kinaandaliwa anakula huo utemi mwingine eti wa mpk m'mke akukaribishe ndio ule auache kwao. Asilazimishe kufanyiwa aliyokuwa anafanyiwa baba yke.
 
Mama zetu walipokuwa wanaolewa walikuwa wanajifunza tamaduni za alikoolewa na kujifunza.
Hata kwa kuigiza tu.
Hawa wanawake tunaoa miaka hii anataka mwanaume uige tamaduni na taratibu alizojifunza mitaani!!
Ujinga tu ndio umewajaa.
Kauli ndio ziro kabisa.
Ongeza mke wa pili uishi kwa Raha zako. Huyo unamuachia nyumba aendelee kuishi.
Muachie nae atapata kikampani asiboreke, kuacha mtu siyo tiba ya tatizo
 
Kuna baadhi ya mambo hua nikisikia nashangaaga sana! Mimi sijui sababu nimekua nikijitegemea kwa muda mrefu!! Nakumbuka nimeanza kuishi mwenyewe boarding school na kila kitu nikiwa na 13yrs hivi. Nimeanza kuishi na mwanamke nina 25yrs. Ukweli sijaonaga sababu ya kuandaliwa chakula au hata kufuliwa. Nikitoka kazini nikikuta chakula nakula nisipokuta sio kesi napika mwenyewe na wide yupo anaangalia tv sipendagi sumbua watu kbs. Lkn unakuta mtu anaweza acha mkewe eti hajakaribishwa chakula!? Kweli!? Kweli hua sielewagi.. wanaume hebu wapeni wake zenu uhuru vitu vidogo maliza mwenyewe! Mfano mke wangu hapendi dagaa na maharage mimi siku nipo home napika dagaa zangu vzr na maharage mafreeze siku ninahamu natoa napika ugali wangu safi!
Khaaa ni vile umeshaoa. Wanaume wa sikuhizi nao wanatakiwa wapate kitchen party maisha ya sasa yamebadilika sana, mnakuta ndani wote mnafanya kazi tofauti na zamani kwahyo lzma tukubali baadhi ya mambo au umwinyi wanaume wapunguze. M'mke nae ni mtu ana nyama nae huchoka pia, kusaidiana vitu vdogo havibadilishi jinsi yako
 
Kwani wanaume waliotawaliwa na wake zao wapoje, yaani wana sifa zipi?

Hapa tunazungumzia tamaduni za kiAfrika na siyo uzungu. Kila jamii ina tamaduni zake.

Mila na tamaduni zetu zimetugawa ki makundi na ki majukumu.

Light duties kama kufua, kufyagia, kuosha vyombo, kupika kuweka mazingira bora nyumbani nk nk, ni za kinamama.

Heavy duties kama kubeba mizigo, kuvunja mawe, ulinzi, vita nk nk ni za kiume.

Na hata sheria za ndoa zinautambua mchango wa kila mmoja katika familia.

Hebu niambie, janaume zima unapika, sijui kufua, wakati mkeo kakunja4 mzima wa afya, wakati yeye hajaja kibaruani kwako hata siku moja kuku backup, jitathimini mara mbilimbili, una tatizo mahali.

Hapo haupalilii penzi wala nini, unauparua mkaa wa moto kwenye jivu.

Mkeo mwenyewe kama anaakili zake na nidhamu yake, lazima atakuzuia, kwa mila zetu ni aibu.

Tatizo la hawa dada zetu kama hauwajui wana akili sana, anaweza akacheza na akili zako hadi ukawa mtumwa wake halali. Ukicheza huo mchezo wa kitoto kwa kisingizio cha kumpumzisha mkeo, unajipalia mkaa kwa siku za usoni.

Pamoja na majukumu yako, pia hayo uliyojiongezea atakuachia yawe yako, usipoyafanya atakukumbusha.

Na ukija kufosi baadaye, uelewe penzi lenu litakuwa tayari limepata ufa na utakuwa umechelewa kuuziba!
 
Bado sjaona shida huyo jamaa angemwambia mkewe mambo ya vyakula nachokula na chochote kumhusu yeye n mke ndio mwenye wajibu juu yake kama ameshapewa ruhusa akaongeze mke s akaoe tu kasusa kula alilala na njaa??
 
Jamaa Mtanga bana kaoa Mchaga miezi kama 6 iliyopita. Enzi zote za uchumba mke alikuwa anajibidiisha kuandaa chakula cha mumewe, lakini sasa dada wa kazi ndio kila kitu kuandaa mpaka kumpa taarifa mume kuwa chakula kipo tayari mezani. Sasa alikuja kuniuliza hilo jambo lipo sawa...kwa tamaduni za kwao TANGA mke ndio anampa taarifa mume kuwa chakula kipo tayari...sasa leo SIKUKUKU YA EID mume kasusa kula alivyopewa taarifa na house girl,mke kamjibu kaoe mke wa namna hiyo wa kukuita kila wakati wa maakuli. Jamaa kaja kutaka ushauri, mie nimemjibu ni kawaida tu, tamaduni zinapishana asilazimishe mambo ya kwao TANGA, achukulie poa tu asikuze mambo yasiyo na msingi...Je nimepatia au nimemuingiza chaka??
Wanawake wa kichaga wanashida mbili kumbwa,kupika na kitandani,inahitaji uvumilivu
 
Khaaa ni vile umeshaoa. Wanaume wa sikuhizi nao wanatakiwa wapate kitchen party maisha ya sasa yamebadilika sana, mnakuta ndani wote mnafanya kazi tofauti na zamani kwahyo lzma tukubali baadhi ya mambo au umwinyi wanaume wapunguze. M'mke nae ni mtu ana nyama nae huchoka pia, kusaidiana vitu vdogo havibadilishi jinsi yako
Bahati mbaya Sana mmekariri kuwa maisha yamebadilika na mmeyafuata lakini men are the same.
Hatujabadilika tabia yoyote ile.!!
 
Kwani wanaume waliotawaliwa na wake zao wapoje, yaani wana sifa zipi?

Hapa tunazungumzia tamaduni za kiAfrika na siyo uzungu. Kila jamii ina tamaduni zake.

Mila na tamaduni zetu zimetugawa ki makundi na ki majukumu.

Light duties kama kufua, kufyagia, kuosha vyombo, kupika kuweka mazingira bora nyumbani nk nk, ni za kinamama.

Heavy duties kama kubeba mizigo, kuvunja mawe, ulinzi, vita nk nk ni za kiume.

Na hata sheria za ndoa zinautambua mchango wa kila mmoja katika familia.

Hebu niambie, janaume zima unapika, sijui kufua, wakati mkeo kakunja4 mzima wa afya, wakati yeye hajaja kibaruani kwako hata siku moja kuku backup, jitathimini mara mbilimbili, una tatizo mahali.

Hapo haupalilii penzi wala nini, unauparua mkaa wa moto kwenye jivu.

Mkeo mwenyewe kama anaakili zake na nidhamu yake, lazima atakuzuia, kwa mila zetu ni aibu.

Tatizo la hawa dada zetu kama hauwajui wana akili sana, anaweza akacheza na akili zako hadi ukawa mtumwa wake halali. Ukicheza huo mchezo wa kitoto kwa kisingizio cha kumpumzisha mkeo, unajipalia mkaa kwa siku za usoni.

Pamoja na majukumu yako, pia hayo uliyojiongezea atakuachia yawe yako, usipoyafanya atakukumbusha.

Na ukija kufosi baadaye, uelewe penzi lenu litakuwa tayari limepata ufa na utakuwa umechelewa kuuziba!
Ndio Hawa mke Yuko sebuleni yeye anatumwa kupikia wageni.
Ujinga tu, eti maisha yamebadilika.
Yaani hapo Ni Kama anaishi na mwanaume mwenzie tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom