Analalamika kana kwamba hakuwa sehemu ya falme zilizopita

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,863
2,000
Kwa nini hakukaa pembeni kupisha maovu ya wafalme aliowatumikia. Analalamika leo kwa maamuzi ya pamoja aliyofanya na wakubwa wake. Anapata waki usafi wa kujiona mzalendo mfia nchi. Kama ni ufisadi walipiga wote. Kama ni kesi waijibu wote.

Ushahidi unakwama kwa wafalme waliopita. Sasa ni kulazimishwa kutubu hata kama hauna hatia na ushahidi hautoshi.

Kumtesa mtu, kisha kumlazimisha kuomba msamaha ni zaidi ya ukatili.
Tutaendelea kumuombea aondoke kwa amani.
 

my take

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
232
1,000
Kwani alivyosema mawaziri wa kipindi chake wanafanyakazi bila pesa na mazingira magumu unaelewa nn?, maana yake yeye akiwa wazira kwa awamu zilizopita alifaidi mengi kuliko wa sasa. Hivyo yeye ni sehemu ya maovu ya awamu zilizopita.
Utadhani ni falsayo ambaye anajiona yuko sahihi wakati wote kwa kutoa hukumu kwa wengine wakati hata ni sehemu ya udharimu huo.
Unataka wanachi wako wakusifu wakati unawazidi kila kitu.
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
65,648
2,000
Hakika, kuna mambo yanasikitisha...

Kesi yao imekaa vibaya sana... ikiendeshwa kwa haki, vigogo wengi sana wataumbuka...Cc: mahondaw
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom