Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
- Thread starter
- #61
haina kweeeere mzuka......sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
saa jifikirie ungekuwa ni wewe ungefanyaje.....hii ishu nimeileta hapa maana mwenyewe aliponifikishia sikuchukua round sana kumpa ushauri kuwa atafute mtu wa kuzae nae huku akisubiri bibie amalize Masters yake.....