FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,022
- 2,591
Aangalie maeneo yanayokua kwa shughuli za ujenzi aweke maduka ya hardware na ya vifaa vya umeme.Na awe na bei yenye ushindani atafurahi
Ni nzuri. Lakini kuweka bond na serikali kwa makubariano ya miaka 25 ni mingi sana. Lolote linaweza kutokea hapa katikati,kama kupanda kwa thamani ya bond. Ksbb unakuwa umejifunga na mkataba mrefu kwa 15.94% hata thamani ya mambo yanayohusiana na pesa ikabadirika ikawa juu,wewe bado unabakia hapo. Pili kuna biashara inaweza ikapatikana hapa katikati ya kuingiza kiwango kizuri,mkataba unakufunga wa miaka 25,huwezi kubadiri. Japo ni nzuri lakini iwe hata kwa miaka 10,10Akanunue bonds za serikali Kuna mnada mwezi October, Tena anunue ile ya miaka 25 ya interest rate kwa 15.94%
Aweke milion 200 tu atulize kichwa
200,000,000 x 15.94/100 = 31,000,000 Tsh kwa mwaka.
Utakuwa unapewa milion 31 kwa miaka 25. Na baada ya miaka 25 utarudishiwa Principal yako ya milion 200,000,000.
Nimekupata huu ushauri kwasababu anahitaji biashara yenye low risks kams hii.