Anakaribia kupasuka kwa pesa za ufisadi

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,006
6.jpg
 
jamani huyu mtu mwachieni mungu tu nafikiri mungu
anampangia adhabu yake muda si mrefu kwa uchafu aliowatendea watanzania,,mungu si wa mkapa mungu si wa daniel yona jamani
tumoe mola mud,ole wao wachukizao wenzio maana ni bora jiwe likaviringishwa shingoni mwao,,,
 
Atakufa kwa shinikizo la damu muda si mrefu. Miaka miwili haiishi... na hela alizoiba kwa ulafi ataziacha na hazitasaidia kuepusha mwisho wake. Ole wake !!
 
Kwa kweli huyu mtu ananitia kichefuchefu hata kusikia anatajwa tu! Ya dunia yote atayaacha hapahapa tu, na kwa jinsi anavyojishindilia machakula na mapombe, basi tum-time tu muda wake sasa hivi...he's already OBESE, shinikizo la damu, kisukari na mengine mengi yatamkumba tu!
 
Kuna bendera ya Tanzania kwenye nguo yake, hastahili kuwa nayo! Hapo anacheka au anagumia maumvu?
 
Bubu unanifurahisha sana, kama mungu angelikuwa na mshiriki hapa duniani naamini wewe na Butiku mngelikuwa wa kwanza kuwa makatibu wake lakini huwa haiwi hivyo,mungu ni mwema kwa kila mja wake.

Kwani wewe ni mzee Kiula nini? Kama siye basi endelea na game hiyo maana kila lenye mwanzo lina mwisho,hatari ni kufa na kijiba cha roho tu ila ukiweza fanya kama Kiula maana at least watu wamemsikia , cha ziada wewe nenda mahakamani kabisa.

Una kazi kubwa sana mheshimiwa Bubu lakini ninaamini wakati umefika sasa tuonyeshe upande wako wa pili kimaono ili walau tupate jipya la kujifunza toka kwako.
 
Back
Top Bottom