kid ink tz
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 307
- 320
Anaye jua mtandao wenye vifurushi vizuri vya internet mitandao yote anijuze msaada
Ni pm nikuuzie vya voda mtandao upon fastAnaye jua mtandao wenye vifurushi vizuri vya internet mitandao yote anijuze msaada
Unafanyaje utafiti? Am ndio lazima utafute line zote ufanye speed test?Speed ya internet inategemea factors mbalimbali ila kubwa ni eneo ulipo:
Kwa mfano nikiwa nyumbani kwangu na rank speed kama ifuatavyo:
1. Halotel
2.tigo 4G
3. Vodacom 3G
4. Airtel 3G
5. Tigo 3G
Nikiwa ofisini mambo ni tofauti:
1. Tigo 4G
2. Airtel 3G
3. Vodacom 3G
4. Halotel 3G
5. Tigo 3G
Ni vyema ukafanya utafitibmdogo kujua mtandaobmzuri kwa eneo ulilopo