Anajua kupigilia nguo ila hana hata shilingi mfokoni

Evz

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
674
130
Wana jf kweli mwenzenu nimeamini kila ukionacho sio dhahabu.

Ukimuona ni mcheshi, mkarimu,anajua kuvaa vimodo na endapo utabahatika kumuona unaweza ukadhani anazo mfukoni.

Kumbe hata kazi hana, analala kwa wazazi wake.

Hata ukimuomba vocha 2 ya buku hapo utamuona anaanza visingizio mara naenda bank, mara mtandao wa tigo pesa unasumbua, mara network ipo busy.

Jamani? Kila siku ndo mambo yake lakini akiwa na shida yake anajua kulia mpaka unaingia laini.

Badirikeni jamani muwe mnajua kuhudumia.

Matusi sitaki
 
Kama matusi utaki basi usionge UNGESE Malapulapu Plus
 
sasa hela hana, bado hata kuvaa vizuri hutaki? avae nguo zimechanika huyo hata kazi atapata kweli?
 
wa2 wengne bhana. Wanafkr za mgando kweli. Mavi ya kale hayanuki. Ukionacho leo kesho sio kilekile
 
Yangekua hayanihusu yangekua yapo kwenye jukwaa lako mwenyewe..yaani lakwako mwenyewe..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom