anaitajika fundi mzuri wa kufunga tv na redio kwenye gari

Nimeshapiga mkwara sijui kama hajashtuka
ngoja uone.

Invisible kazi ya kufunga redio gari ni moja ikiisha ndo ivo tena labda ikipata matatizo tena
ila kuna kazi nyingine ya binafsi naweza kukupa utanifaa sana wewe ....
so nikupm kwa kazi zote mbili ?
 
Last edited by a moderator:
Uzi wako umenifaa sana Smile
nimepata 'like' ya Invisible.

Asante sana dada.
hajawai kukupa 'like' ?....duh najua jamaa ni kauzu ila sikufikiria anaweza kuwa kafikia huko .pole sana mamamdogo .. ila naamini atajirekebisha
nadhani ni vile hajui wewe ni nani...
angejua na wewe ni wa mjengoni angekupm daily....
 
Kweli wewe ni hivyo hivyo
tena mahari yako lazima nichukue
ng'ombe wa maziwa,
costa (Bus) na wamalizie kujenga ile nyumba
pale baba yako alipoishia.

Mamndenyi ahahaaa mimi mwanamke bwana kigori kabisaaa tena bikra...
 
Last edited by a moderator:
Nita-mp mimi
siku akikupeleka bichi na mimi
anipitishe kanisani pale azania.

hajawai kukupa 'like' ?....duh najua jamaa ni kauzu ila sikufikiria anaweza kuwa kafikia huko .pole sana mamamdogo .. ila naamini atajirekebisha
nadhani ni vile hajui wewe ni nani...
angejua na wewe ni wa mjengoni angekupm daily....
 
Invisible kazi ya kufunga redio gari ni moja ikiisha ndo ivo tena labda ikipata matatizo tena
ila kuna kazi nyingine ya binafsi naweza kukupa utanifaa sana wewe ....
so nikupm kwa kazi zote mbili ?
I can do both Smile,

Nakuja kwa PM... Naomba utoe mrejesho kama nitakuwa nimeifanya kazi vema
 
Last edited by a moderator:
Ebanaeeee, Smile umeninyima kazi ambayo wajua naiweza? Huonj tayari nna spanner? That's my field.
Amyner, mi nshachemsha,,, tender mpe jamaa. Naona client anachagua contractors wa kazi yake, fairness hakuna lol
 
But dont give up mapema hivyo Invisible bana, anafanya evaluation kwanza. Ukimwambia watu uliowahi kuwafanyia kazi akaenda kuwauliza atajua wewe ni fundi balaa...utapata permanent contract!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom