Anahtaji huduma ya kwanza.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anahtaji huduma ya kwanza.!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chitemo, May 4, 2011.

 1. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Rafk yangu kabanwa na kifua anashindwa kupumua, anasema kifua kinawaka moto yupo hoi analalamika kifua! kifua! na pumzi inambana.
  Nipo alone home,duka la dawa hakuna, nimsaidieje kwa huduma ya kwanza kabla kesho sijampeleka hosptal?
   
 2. d

  dropingcoco Senior Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtoe nje apate fresh air kwanza
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mbona hiyo ni isue serious?? Kifua kubana ni hatari, huezi kuwasiliana na jamaa zako wa karibu mumpeleke hospital?? Fanya mpango mkuu.
   
 4. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kama katulia vile. Kwa sasa namwona mzma eti. Yani imemjia ghafla tu.
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hana historia ya kuumwa Athma? Manake ndo inakuwaga dizaini hizo. Kubana na kuachia, ila umshauri aende hospital 4 more check up! Mpe pole.
   
Loading...