Anahitajika Webdesigner/developer

Mensarum

Member
Apr 16, 2009
9
0
Tunahitaji web designer na developer kama uko tayari wasiliana nasi kwa njia ifutayo
simu +4531860936 ama kwa email: info@gmconsultz.com ama kwa njia ya PM

First come, First Served

We guarantee to listen to anybody who call or write to us

Hint:

Tunahitaji mtu anaeweza kudesign na hata kutengeneza web inayoweza ku interact na mobile phones (info exchange through sms) katika kukusanya taarifa mbalimbali na hata kusambaza tarifa hizo kwa walaji wa taarifa hizo. Kwa wale ambao wako serious tuwasiliane,
 
Last edited:
Ntakujulisha kesho. Huyo mtu unamtaka awe anafanya kazi na wewe ONLINE? Kama ni hivyo basi kesho ntakuulizia jamaa mmoja.
 
Njia za mawasiliano sio tatizo maana tupo partners sehemu 5 so the nearest partner will contact you na pia tuko online muda wa asubuhi
saa za bongo saa 2 hadi saa 6 mchana then jioni tena ya 3 hadi saa 6 usiku. karibu kuwasiliana nasi
 
Nimeshampata jamaa na nimempatia contact. Ila kwa sasa yuko too tight na labda baada ya tarehe 03/05 ndiyo atapumua. Kama mtakuwa hamjapata basi jamaa anaweza kuwasaidia. Ila nafikiri atawasiliana na nyie kesho au anytome soon. Good Luck.
 
Nakushukuru Mzee,hiyo itatosha kabisa. Ila nimecheka sana,naomba ushauri ukiwa kwenye biashara mtu akakutangaza si anakuwa amekupunguzia gharama?au?Hata hilo ulilolifanya ni kubwa,Asante.
 
Nisipotoa shukrani kwa Uongozi wa JF na kwa wana JF kwa ujumla nitakuwa sitendi haki, Hivyo nasema asanteni sana kwa kunifikishia ujumbe, Hakika huu mtandao una hazina kubwa sana.

Na napenda kusema nimepata request za kutosha na sasa tupo kwenye mchanganuo wa kupata the best 3. Kwa wale ambao tuliwaomba watupatie CV na walau website mbili walizofanyia kazi mwisho wa kupokea maombi hayo ni Jumatano 29.04 saa 18:00 East African Time. Hivyo ukituma ombi lako baada ya hapo halitashughulikiwa.

Vile vile wale ambao wametuma maombi yao fully expect to hear us by Friday both successfully and unsuccessfully will be informed.

Those who will be successfully will go to the second round where hey will be required to write a technical proposal basing on the Terms of Refrence (ToR) which will be provided.

asanteni kwa ushirikiano na karibuni kujipatia Huduma za GM Consult.

Kwa wale wanaotaka kuanzisha biashara hawajui waanzie wapi We have solution for you

Kwa wale wanataka kuendeleza biashara zao, ama wanataka kukopa lakini hawajui waende wapi come tu us we will guide you.

Kwa wale wanaotaka kutengenezewa mchanganuo wa biashara(Business Plan) we are the Expert. And many more...

Kwa sasa tunashugulikia suala la Office Dar, Arusha na Mwanza. so keep close watch on our website: gmconsultz.com na kama una swali, dukuduku, ushauri, pendekezo, maoni, dokezo basi usisite kutuandikia email info@gmconsultz.com, ama ceo@gmconsultz.com

Karibuni
 
Back
Top Bottom