Weka hadharani mshahara ndio utavutia wengi.Anahitajika nurse mwenye addo mahali pa kazi dar es salaam mshahara tunaelewana mwenye uhitaji aje pm
addo novemberADDO ni nini wakuu?
sio nesi ila nauhakika hili jibu ni batili ah ah ah..addo november
ADDO ni nini wakuu?
Kuna course fulani hivi wanasomaga hao manesi ya miezi miwili wakimaliza ndio wanapewa hivyo vyeti
Nipo mi Nina addo Niko geitaAnahitajika nurse mwenye addo mahali pa kazi dar es salaam mshahara tunaelewana mwenye uhitaji aje pm
Ushapata mkuu??Anahitajika nurse mwenye addo mahali pa kazi dar es salaam mshahara tunaelewana mwenye uhitaji aje pm