Anahitajika mwalimu wa kudumu wa "english coz" Mjengoni.

Mimtamu

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
368
105
Kiwango cha elimu: kianzie darasa la saba
jinsia: yoyote
zingatia:uwe mvumilivu.

madenti waliojiandikisha tayari no.1 Anne M.kinda no.2...
 
Mambo ya kufika hapo niwe kama nimekunywa supu ya gundi nani anataka?

Kingereza wito, unaweza kata kauli wakati uko mzima.
 
Mambo ya kufika hapo niwe kama nimekunywa supu ya gundi nani anataka?

Kingereza wito, unaweza kata kauli wakati uko mzima.

mambo ya mauthi konkasheni hatutaki.....kingereza anasa jamani....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom