Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 365
- 750
Anahitajika Mwalimu kwa ajili ya kufundisha Advanced level, somo la Advanced Mathematics. Mwalimu anahitajika kuwa na Bachelor/Degree na awe na GPA above 3.0.
Mwalimu awe na angalau Mwaka Mmoja wa uzoefu wa kufundisha somo husika (1 year), na awe na ufaulu wa kuanzia grade "C" kwa Advanced level.
Shule ipo mkoa wa Tanga, Kwa mawasiliano piga au tuma CV yako through WHATSAPP.