Anahitajika Mwalimu kwa ajili ya kufundisha Advanced Mathematics Form 5&6

Evans Richard Arsenal

JF-Expert Member
Jul 11, 2018
365
750
Anahitajika Mwalimu kwa ajili ya kufundisha Advanced level, somo la Advanced Mathematics. Mwalimu anahitajika kuwa na Bachelor/Degree na awe na GPA above 3.0.

Mwalimu awe na angalau Mwaka Mmoja wa uzoefu wa kufundisha somo husika (1 year), na awe na ufaulu wa kuanzia grade "C" kwa Advanced level.

Shule ipo mkoa wa Tanga, Kwa mawasiliano piga au tuma CV yako through WHATSAPP.
 
Ungeweka jina la shule mkuu pamoja na details mbalimbali, ili mtu akiwa interested ndiyo afanye mawasiliano. Nataka ku-share hili tangazo ila ongeza taarifa mkuu.
 
+255 622 513 133 or +255 758 994 103
Watakuja mkuu,
 
Ungeweka jina la shule mkuu pamoja na details mbalimbali, ili mtu akiwa interested ndiyo afanye mawasiliano. Nataka ku-share hili tangazo ila ongeza taarifa mkuu.
Details zinajitosheleza kabisa kiongozi, any way wengi wameshatuma cv zao.
 
Back
Top Bottom