Mgonjwa ni mtoto boss! Bado hatujapataAnatakiwa kuangali mgonjwa au kuangalia mtoto wa miaka 8
Fafanua
Ukiwa tayar tujulishe ni makubaliano tuu 0719900680Na nauli na chakula?
Shukran ndo maishaPoleni sana...
0719900680 asiwe teja tuu awe anajielewa bado hatujapataKaka nina binamu yangu choka mbaya/alosto yupo hapo Gongo la Mboto. Kazi yoyote anafanya. Naomba namba yako ya simu.
0719900680 serious bro140K? Am in
Kulala nae hosp mkuu na huduma zote za kumstiri..Mkuu haujaeleweka, unahitaji mtu wa kumhudumia mtoto aliyevunjika ama kukaa na huyo mtoto wa miaka nane?
Tumsaidie halafu hili tulifanye baadayeInavyoonekana hiyo familia yenu haina mahusiano mazuri na ndugu zenu. Haiwezekani familia nzima akosekane wa kuuguza mgonjwa.
We acha tuu!Inavyoonekana hiyo familia yenu haina mahusiano mazuri na ndugu zenu. Haiwezekani familia nzima akosekane wa kuuguza mgonjwa.
Mkuu mimi nina uzoefu na shughuli hii na nipo tayari ..weka mawasiliani yako tupangeHabari wapendwa,
Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili.
Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
Nakupigia0719900680 serious bro
Acha madharau wewe boya. Sasa Teja ameingiaje kwenye hii mada?0719900680 asiwe teja tuu awe anajielewa bado hatujapata
Daaaaah mzee baba umenifurahisha balaa kwani na we ni teja? Si unaelewa arosto mzee, teja hawezi vumilia kulala hospitali wiki mbili atakimbia tuAcha madharau wewe boya. Sasa Teja ameingiaje kwenye hii mada?
Inavyoonekana hiyo familia yenu haina mahusiano mazuri na ndugu zenu. Haiwezekani familia nzima akosekane wa kuuguza mgonjwa.
Maelezo yako juu ya huyo ndugu yako ndo yameleta hii tahadhari....!!Acha madharau wewe boya. Sasa Teja ameingiaje kwenye hii mada?
Anyway coz Ni mgonjwa ngoja nimezee tu. Vinginevyo ningechafua Hali ya hewa hapaMaelezo yako juu ya huyo ndugu yako ndo yameleta hii tahadhari....!!
Umeumia wewe teja kwani!? Acha umakondeAcha madharau wewe boya. Sasa Teja ameingiaje kwenye hii mada?
TANZIA?Daah Mungu hakupanga.