Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

Habari wapendwa,

Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili.

Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
Mkuu mimi nina uzoefu na shughuli hii na nipo tayari ..weka mawasiliani yako tupange
 
Back
Top Bottom