Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

Mwee nimeumia km ni mtoto ningekuwa sn mishe ya kutoka kila siku huyo mtoto ningemchukua nimlee mpaka mgonjwa atakaporecover for free.Mungu akupe wepesi
Hongera Sana mkuu kwa kuwa na moyo mzuri wa ukarimu, Mungu akusaidie ili upata fursa ya kwenda kumsaidia.
 
Yatupasa tuishi vizuri na ndugu, jamaa, marafiki na jamii yote kwa ujumla.

Swala la kumuhudumia mgonjwa halihitaji mtu wa kulipwa.

Watu wakipata nafuu ya maisha wanaamini pesa ndio kila kitu na kudharau wanaomzunguka.
Miaka ya Leo siyo Kama zamani kila mtu yupo kwenye kupambania mkate wa familia yake na wengine wanafanya kazi za bila likizo Sasa waache waharibu kazi?
 
Inavyoonekana hiyo familia yenu haina mahusiano mazuri na ndugu zenu. Haiwezekani familia nzima akosekane wa kuuguza mgonjwa.
Ndugu?? Ni Heri Rafiki kuliko Ndugu..... Nakushauri katika maisha yako yote hapa duniani, usitegemee ndugu kabisaa....
 
jamaa kaja kupima upepo tu ,,, tulikuwa tunabishana hapa jins gani watanzania wengi walivyo jobless ndo akaona aje kujaribu tangazo lake aone mtakavyogombania
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom