Anahitajika mtu aliyesoma kozi ya Industrial Chemist

Lakini ujue kuna tofauti kati ya industry chemist na industrial chemist, usichanganye hayo mawili, unakusudia yupi? Kiingereza kweli shughuli pevu!
Mimi nimetaja INDUSTRIAL CHEMIST, sasa hayo ya industry chemist sijui umeyatolea wapi!! Na mambo ya kiingereza kuwa shughuli pevu unahitaji tukupe ualimu wa tuition!!
 
Mtoa post ungefafanua vizuri kwenye maswala ya majukumu ya kazi maana kuna programme zingine bongo hamna lakin unakuta basic skills MTU anazo kutokana na kusoma programme ambazo zina relate....mfano unaweza ukawaunamuhitaji MTU wa kufanya production au analysis au quality control and assurance na ukiangalia hizi position MTU aliyesoma chemical and processing eng., bsc chemistry, food science and technology , microbiology , bsc in industrial chemistry wote hao wanafit Ila tu majina na baadhi ya course ndo wanatofautina lakini mwisho wa siku target zao huwa ni moja tu!!!
 
Brother mbona we mnoko ivo....we aliekuambia hawaitaji ni nani ...au we ndo HR.....acha kauzibe basi....
Ndo tatizo lenu hilo mtu akikwambia uhalisia unaona anakuzibia sasa nikuwekee kauzibu ili kinisaidie nini
 
Back
Top Bottom