Anahitajika mpishi wa kiume

sylver5

Member
Jul 22, 2013
20
19
Anahitajika mpishi wa kiume mwenye sifa zifuatazo

KITAALUMA
1. Ujuzi wa nyama choma (foil & open fire)
2. Ujuzi wa ukaangaji chipsi na kuku (kwa ubunifu wa hali ya juu ikiwemo katika viungo vyake)
3. Ujuzi katika upishi wa wali pamoja na mboga zake mbalimbali (Radha za pwani)
4. Ujuzi wa uchemshaji ya supu (kwa ubunifu wa hali ya juu)

NYINGINEZO
1. Awe na ubunifu wa hali ya juu katika mapishi kama nyenzo ya kuleta upekee
2. Awe na historia ya kufanya Kazi katika migahawa mikubwa na ya kati
3. Aishi maeneo ya airport mpaka gongolamboto jijini Dar es salaam
4. Awe ana familia inayomtegemea na awe mchamungu; hivyo tutaombeana neema kwa muumba
5. Awe tayari kuandaa timu ya watu watakaomsaidia kutekeleza majukumu yake kwa usimamizi mdogo sana

Je, unakidhi vigezo(vingi) vilivyoainishwa? Tuwasiliane kupitia WhatsApp number 0762431028View attachment 1880327View attachment 1880326
Screenshot_20210805-005845.jpg
View attachment 1880325
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom