Anahitajika Mpishi - aweze kupika vitafunwa na chipsi

mawindo

Member
May 18, 2018
66
104
Anahitajika Mishi/Mtaalamu wa kupika Chapati (vitafunwa) na Chipsi. Awe wa kiume.

Awe mwenye uzoefu aliyekwisha wahi fanya kazi sehemu za watu wengi.

Eneo la kazi ni Mkoani Shinyanga.

Kwa mwenye sifa na vigezo afike PM kwangu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom