Anahitajika Mhudumu as Ofisi

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
205
225
Salaam wadau..Anahitajika mhudumu wa ofisi ya sheria hapa Dar as salaam.Kazi zake itakua ni Kufanya usafi wa ofisi,kupokea wageni/wateja,Kwenda sehemu kama posta nakadhalika.Ofisi ipo Upanga na ni ya mawakili.Vigezo ni umri kuanzia miaka 18 mpaka 35,kujua kusoma na kuandika,Awe wakike,Awe amesoma angalau mpaka form 6.Asikae maeneo ya mbali sana na ofisi mawakili ya kuwahi.Kwa mawasiliano namba ni 0689900000 na email ni ndaha2000@gmail.com
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,825
2,000
Ningemuunganishia demu wangu ila naogopa msije kunifunga mjilie kwa uhuru maana amejaaliwa.
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
23,600
2,000
Salaam wadau..Anahitajika mhudumu wa ofisi ya sheria hapa Dar as salaam.Kazi zake itakua ni Kufanya usafi wa ofisi,kupokea wageni/wateja,Kwenda sehemu kama posta nakadhalika.Ofisi ipo Upanga na ni ya mawakili.Vigezo ni umri kuanzia miaka 18 mpaka 35,kujua kusoma na kuandika,Awe wakike,Awe amesoma angalau mpaka form 6.Asikae maeneo ya mbali sana na ofisi mawakili ya kuwahi.Kwa mawasiliano namba ni 0689900000 na email ni ndaha2000@gmail.com
Ajue kusoma na kuandika halafu awe amemaliza form 6...... Kwani kuna wanaomaliza form 6 hawajui kusoma na kuandika.?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom