Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mume unayemtaka hujasema kama awe na kazi ama laUmri miaka 25-29
Mkristo
Elimu kidato Cha nne na kuendelea
Rangi (asiwe wa kijichubua)
Makazi Dsm (au awe tayari kurelocate)
Kimo wastani!
😁😁😁Watu huwa mnawazaga mbali aisee duuhh!wastani=jumla÷kwa idadi
Kweli mkuu😀😁😁😁Watu huwa mnawazaga mbali aisee duuhh!
Sawa mkuu,kila la heri.Umri miaka 25-29
Mkristo
Elimu kidato Cha nne na kuendelea
Rangi (asiwe wa kijichubua)
Makazi Dsm (au awe tayari kurelocate)
Kimo wastani!
😀Kweli mkuu😀
Ndiyo hivo kimo cha nini mbususu ama?🏃♀️😀
Ila inabidi awe specific, kimo gani anatataka
Hapo sawa, ngoja waje sasa175 cm
Huyo ni mathematician wetu hapa JF.Watu huwa mnawazaga mbali aisee duuhh!
😂 Kwani na ile inapimwa kimo? 🤔Ndiyo hivo kimo cha nini mbususu ama?🏃♀️
Mbususu ndio nin wew??Ndiyo hivo kimo cha nini mbususu ama?
Kweli nimeamini, yupo vizuri sanaHuyo ni mathematician wetu hapa JF.
Unatoa tangazo la kutafuta mchumba, HUSEMI JINSIA YAKO!Umri miaka 25-29
Mkristo
Elimu kidato Cha nne na kuendelea
Rangi (asiwe wa kijichubua)
Makazi Dsm (au awe tayari kurelocate)
Kimo wastani!
Duuuhh haya bhana, kumbe na wewe unafungukaga hivi!!?Ndiyo hivo kimo cha nini mbususu ama?
Hahaa ni papuchi hiyo mkuuMbususu ndio nin wew??